Tumetoka Kwenye Usuluhishi wa Masuala ya Ndoa

Tumetoka Kwenye Usuluhishi wa Masuala ya Ndoa

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Hali si shwari, wanandoa wanalalamika, mke amekuta meseji 👇 kwenye simu ya mumewe, kumbe mjadala wa kutooa unajadiliwa ng'ambo ya pili pia
20230320_214729.jpg


20230320_215425.jpg
 
Naona mnazidi kueneza kampeni yenu kwa mbinu mbalimbali.
 
Haya mambo tunaya kuza tu lakini ndoa Ni taasisi ukipenda kufaulu lazima ukubali sheria , kanuni na taratibu za taasisi.

Ndoa haijawai kuwa rahisi tangu zama za mababu.

Kinachoharibu sahivi Ni aina fulani ya watu wanataka kuwa huru kwenye ndoa.

Wakike hawataki kuheshimu na kutii waume zao
Wakiume wanakimbia majukumu yao.

Tukubaliane tu na mfumo wa ndoa za mkataba pengine ndio suluhisho.
 
Ndoa ni kama ajira.
Ajira:-
1 Ukipata kazi huvai nguo zako za usharo kazini,
2 Kauli zako na boss wako za heshima,
3 Unafanya kazi kwa bidii na Huchelewi kufika kazini.

Ndoa:-
1 Ukipata mke vaa kiheshima
2 Kauli zako kwa mkeo ziwe za heshima
3 Ukiwa nyumbani kumsaidia kazi sio vibaya, Ukitoka kazini wahi nyumbani mwenzio anahamu na wewe pia. Japo hupendi tamsilia angalia nae tu. Hata vikao vya kazini navyo vinazingua lakini unakaa na kusikiliza.
 
Back
Top Bottom