Tumetoka mbali kwenye teknolojia?

Kipindi hicho ukipata likes unaona kama umepata hela vile, Bila kusahau followers
Ulikuwa ni unyama sana, kipindi hicho matapeli wa mtandaoni ilikuwa Hamna kabisa, kwenye fb taarifa zilikuwa zinajazwa kwa usahihi kabisa...
 
Ulikuwa ni unyama sana, kipindi hicho matapeli wa mtandaoni ilikuwa Hamna kabisa, kwenye fb taarifa zilikuwa zinajazwa kwa usahihi kabisa...
Kabisa Content zilikuwa nizakueleweka hakukua na mambo ya kipuuzi puuzi kama sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…