Tumetoka mbali kwenye teknolojia?

Tumetoka mbali kwenye teknolojia?

Kuna mtu anaikumbuka ile App iliitwa The Grid ilikuwa kwenye Symbian miaka ya 2008/2009.
Vodacom walikuwa wanaitangaza sana.
17767.jpg
 
Ilikua ni ya kwao wenyewe, baada ya kuja FB nyingi hizi zilikufa.
Aisee, kwenye haya mambo huwa yananishangaza myspace ilianza kabla ya fb lakini ilikufa, symbian kabla ya android na ios, instagram ni kama inaelemewa na tiktok hivi sasa , hata youtube na hizo short videos anaita reels ni kama tiktok inawa challenge.

Sema katika vyote kilichonouma ni symbian, sijui kama watarudi wale jamaa.
 
Symbian imeuliwa kila zima lazima tu, then ikawekwa kwenye makarabrasha. Watu wamepiga kelele wee ifanywe open source ila walioshika mpini walikua wanaiogopa.
 
Ingeendelezwa ingekua tishio sana.
Symbian belle ilianza kuzifukuza Android na iOS hawakutaka kuendelea.

Katika vitu nakumbuka Symbian ndio OS nilikua natumia ikiwa ina run smoothly na battery efficient.
 
Back
Top Bottom