Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Sawakama kichwa cha habari kinavyojieleza pichani ni kikosi cha simba kilichocheza fainali za Abiola 1993 na picha ya Roy Keane wa Man U 1993, Dah KITAMBO SANA MARA YA MWISHO TANZANIA KUINGIZA TIMU FAINALI. Ntu anavaa jezi bila hata kuwa na nkataba na SHARP
View attachment 2633933View attachment 2633934
Yanga haijawai kuwa na upumbavu huu.
Aliwaahidi KIAAzim Dewji aliwaahidi wachezaji canter kwa kila mtu wakichukua ubingwa.
Lete ushahidi Yanga iliwahi kufanya hivyo, mkiambiwa Yanga ni timu ya wananchi mnalia.una uhakika?
usilete ushabiki wa kijing hapa.
Ligi zote ligi kuu timu nyingi zilitumia jezi za nje hata majimaji ya songea walivaa baadhi ya jezi za timu za ligi kuu uingereza
Yanga ilikuwa ndio timu iliyochelewa kuvaa viatu.Yanga haijawai kuwa na upumbavu huu.
Mashudu CupAbiola cup
Borauna uhakika?
usilete ushabiki wa kijing hapa.
Ligi zote ligi kuu timu nyingi zilitumia jezi za nje hata majimaji ya songea walivaa baadhi ya jezi za timu za ligi kuu uingereza
Umetoa Ufafanuzi Wengine Wataleta Mihemko Kama Vile Ni Simba Tu
Kipindi hicho ni lazma utafute uzi wenye DNA za RED wenzio😂Inamaaana wana vinasaba na Man U.