Tumetoka mbali: Simba iliyocheza Fainali ilikuwa ikivaa jezi za Manchester United

Tumetoka mbali: Simba iliyocheza Fainali ilikuwa ikivaa jezi za Manchester United

duh aiseee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
SIMBA ILIYOICHAPA YANGA TANO 5 BILA 0
simba.jpg
NA JEZI ZAKE.
 
Ndio mana mashabiki wa simba lazima utakuta wanashabikia man yuu.
 
Sio zamani sana, Ivo Mapunda alidaka na jezi ya Newcastle United Stars chini ya Maximo walivocheza na Senegal pale Kirumba.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Yanga haijawai kuwa na upumbavu huu.
Kwani Yanga ilishawahi kufika fainali hata moja enzi hizo za umasikini? Haikubahatika kufika. Ingalifika ingalifanya hivyo hivyo au ingalivaa jezi za TANU!
 
Yanga ilikuwa ndio timu iliyochelewa kuvaa viatu.

Sasa piga hesabu hapo mwenyewe, kama Simba ilikuwa inavaa jezi za Man U, Yanga si walikuwa wanacheza matumbo wazi?
Siyo viatu tu, pia tulikuwa tukicheza bila jezi, ila hatukuwahi kuvaa jezi za timu nyingine sababu Yanga haikuwahi kuwa mfano au idea ya timu fulani, bali ilikua timu kamili tangu kuanzishwa kwake.
Ndiyo maana haikuwahi kubadilika majina ukiacha ile namna ya kutamka๐Ÿ˜ƒ
 
Na hao mamelodi na mijezi yao ya njano wamefanya nini cha maana, miaka yote wana kikombe kimoja!! Kwa taarifa yako al ahly na casablanca zitaendelea kuwasumbua sana timu pinzani
 
Back
Top Bottom