Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 252
Pichani ni mtu mmoja maarufu, enzi zake akiwa kasichana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama mzuri sana, I wish angeacha uchizi wake awe kisista du kabla mashavu hayajaokota kunde!
Sipati picha siku anabonge la tumbo sijui ule ujike dume atauendeleza au ????????????
Nilimuona akiingia guest moja akiwa na dada flani,dunia sio mbaya ila sisi ndo wabaya.
Sipati picha siku anabonge la tumbo sijui ule ujike dume atauendeleza au ????????????
Kwa photo yake hii nishakata tamaa kama itakuja siku moja aka-act udada!Salama mzuri sana, I wish angeacha uchizi wake awe kisista du kabla mashavu hayajaokota kunde!
Tumbo hili hili la kawaida, au tumbo maalum lijalo kwa sababu maalumu na kwa jinsia maalumu peke yake?!Alishawahi kuwa nalo!!!
Nadhani kwa mwanaume ukitaka kupima kiwango chako cha ashki kipo juu kiasi gani basi kaa na Salama jirani mkiwa wawili! Ukidi'nda, hesabu kwamba unahitaji msaada wa kitabibu...Yani hayuko hata kimapenzi.