Tumetolewa AFCON kwa sababu wachezaji wengi ni wafupi na hawana miili iliyoshiba

Halafu nilidhani huko chini atarekebisha kumbe hola ni mihili mwanzo mwisho.
 
Nikajua ni kwasababu ya siasa kwenye mpira wetu.

1. Kukosekana kwa uwekezaji madhubuti kama Azam.

2. Kukosekana Academy za mpira za watoto.

3. Uhaba wa wataalam. Makocha nk

4. Uhaba wa Miundombinu ya Michezo viwanja Gym nk nk........

5. Vifaa vya Michezo....

SIMBA NA YANGA NI KANSA YA MAENDELEO KWA MPIRA WA MIGUU TANZANIA.
 
Kama hiki ndiyo Kiswahili cha kisasa basi tumekwisha.
Halafu unaweza kuta ni kijana Msomi tu mwenye GPA ya kushiba!
Eti mihili, dhohofika,nk,nk
Hadi aibu.
Hicho kiswahili kina kisadia nin mpk Sasa
 
Naamini kwenye utapiamlo na kutotambua wajibu wao ,shabalala aliniudhi sana pasi zake mbili ambazo kama Angelipiga panapotakiwa akaachana na kumwangalia kibu Denis ,Leo mengine tungezungumza game mbili ,amwisho
 
Dogo hujui mpira. Labda netball . Kama ni hivyo mimi ngekuwa mchezaji mzuri sana duniani. Lakini kawaulize wanaofaham mpira kimo cha Messi, Maradona n.k South Africa walichukua Afcon wa kimo gani? Zambia? Haya mambo unatakiwa uulize wanaume kwanza wakuelekeze vizuri ndo uje upost. Hii siyo Basketball dada. Mimi mrefu sana kama unavyonijua bwana ako na wala sijui kucheza mpira. Haya mambo sweet girl tuachie wanaume.
 
Kama hiki ndiyo Kiswahili cha kisasa basi tumekwisha.
Halafu unaweza kuta ni kijana Msomi tu mwenye GPA ya kushiba!
Eti mihili, dhohofika,nk,nk
Hadi aibu.
Mumsaheme huyu dogo. Anashinda sana na wanawake Salon. Ndo wale wale.... Nadhani umeelewa. Msimshambulie sana ni aina ile ... So huwa hafahamu vitu anaambiwa tu anakurupuka.
 
Argentina wana miili gani? Lionel Messi unamjua? Hebu sema kimo chake katika karne hii soka la mbinu unadhani miili ina nafasi kubwa kama unavyosema? Sisi tuna matatizo ya misingi ya soka na sio vimo wa miili.

Umemuona mesi tu , ile team angalia backline yao akina otamendi na wenzie halaf angalia kiungo ni watu wameshiba, it okay mshambuliaji kuwa mwili huo but position zingine ni uongo
 
Mbali na miili midogo hata fitness level ya wachezaj wetu iko down to the dust!wanakimbia kama slowmotion na hata akili zao haziwaz chap kuamua mali aifanyie nin inapokua mguuni!...yote kwa yote mleta mada ana hoja maana jibaba kama seko fofana likabane na muzamir tutamlaumu refa bure na hata kina messi fitness level yao si lelemama
 
Umemuona mesi tu , ile team angalia backline yao akina otamendi na wenzie halaf angalia kiungo ni watu wameshiba, it okay mshambuliaji kuwa mwili huo but position zingine ni uongo
Kwanini walimpa dawa za kumkuza?
 
Wachezaji wawili wenye skills sawa, mwenye umbo kubwa ana advantage.


Messi ilimuhitaji kuwa na akili kubwa ya mpira ili kufidia umbo dogo alilonalo
 
Moja ya maon ya hovyo ktk football, mpira ni kipaji na jitihada sio mwili. Kawaangalie japan ni wafupi na wana miili midogo kuliko sisi ila wanakanda mpaka wakubwa wa ulaya.

Muangalie iniesta ana mwili mdogo tu lkn viungo wengi wamepata sana shida sana kukabiliana nae, hao waafrica unaosema wana miili iliyoshiba kina kolo toure wanakula ugali mkubwaaa ila rooney alikua anawagusa tu wanadondoka chini.

Mifano ipo mingi sana,messi ni mfupi tu ila hayo majitu yaliyoshiba yakigongana na messi huwa yanaanguka yenyewe.

Mpira ni kipaji na jitihada tu, ungeshauri tuzingatie fitness tu, hao japan wana miili midogo sana ila wapo timamu kimwili ndo jambo la msingi zaidi, una mwili mkubwa umeshiba ila utimamu wa kimwili sifuri
 
Hahahahaha lini machiz wakajuwa Mpira

Lini shoga akaweza kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…