Tumetolewa AFCON kwa sababu wachezaji wengi ni wafupi na hawana miili iliyoshiba

Tumetolewa AFCON kwa sababu wachezaji wengi ni wafupi na hawana miili iliyoshiba

Dogo hujui mpira. Labda netball . Kama ni hivyo mimi ngekuwa mchezaji mzuri sana duniani. Lakini kawaulize wanaofaham mpira kimo cha Messi, Maradona n.k South Africa walichukua Afcon wa kimo gani? Zambia? Haya mambo unatakiwa uulize wanaume kwanza wakuelekeze vizuri ndo uje upost. Hii siyo Basketball dada. Mimi mrefu sana kama unavyonijua bwana ako na wala sijui kucheza mpira. Haya mambo sweet girl tuachie wanaume.
Hivi jusi nimekuona umesishika shanga za dada ako

Huna adabu
 
Hivi jusi nimekuona umesishika shanga za dada ako

Huna adabu
Kwa hiyo unataka sasa ni kutreat kama dada yangu? Meno yaliyo baki nayo umeyatoa? Hii style yenu ya kung'oa meno ili muwe kama kibogoyo wakati wa kunyonya ice cream ya ukwaju imeshika hatamu. Naona hadi imekuathiri kwenye kuandika. Haya dada sitoshika tena shanga zako. 😁
 
Hivi wewe ni Mtanzania wa nchi gani? Naanza kuingiwa na wasiwasi. Sio nyie tunao watafuta mnao tuharibia Tanzania yetu?

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tanzania yenu inaharibiwa na ccm kwa kung'ang'ania madarakani huku hakuna chochote cha maana wanachofanya. Bure kabisa.
 
Vinicious JR
LISANDRO MARTINEZ(Licha)
Raheem Sterling etc .

😝😝😝😝😝
 
Back
Top Bottom