Tumetolewa AFCON kwa sababu wachezaji wengi ni wafupi na hawana miili iliyoshiba

Sawaaa Hawa japan unao walinganisha na sisi wale wanafuzu kila hatua maan timu wanazo pangwa nazo

Ndio maana hajawai kutika nusu fainaali au Sana robo anatolewa na hi no kwasabubub waanakwenda kukutana na wagerumanj warefu
 
Nikitaka nimtaje huyu hyu nikasema nisije kuonekana na msimanga kwa kimwili chake Kama yangu
Hadi sasa tshabalala kala kura mbili,,
Nadhani hizi habari atazipata,
hivyo na hili akalitizame!
 
Kama hiki ndiyo Kiswahili cha kisasa basi tumekwisha.
Halafu unaweza kuta ni kijana Msomi tu mwenye GPA ya kushiba!
Eti mihili, dhohofika,nk,nk
Hadi aibu.
Achana na kiswahili chake!
Angalia madini aloweka!
 
Sawaaa Hawa japan unao walinganisha na sisi wale wanafuzu kila hatua maan timu wanazo pangwa nazo

Ndio maana hajawai kutika nusu fainaali au Sana robo anatolewa na hi no kwasabubub waanakwenda kukutana na wagerumanj warefu
Japan wapo vizuri sana, sisi na wao ni mbingu na ardhi
 
Umemuona mesi tu , ile team angalia backline yao akina otamendi na wenzie halaf angalia kiungo ni watu wameshiba, it okay mshambuliaji kuwa mwili huo but position zingine ni uongo
Watu hawawazi mbali zaidi kuwa mengine ni vipaji vya wachache waliobarikiwa, wanaacha kufikiri Kama GTs
 
Spain wana miili gani? Shida sio dushe dogo, shida style.
 
Umemuona mesi tu , ile team angalia backline yao akina otamendi na wenzie halaf angalia kiungo ni watu wameshiba, it okay mshambuliaji kuwa mwili huo but position zingine ni uongo
Hao mabeki wenye miili ndiyo wanaofunga ama Messi mfupi ndiyo mfungaji?

Messi ni mchezaji bora wa dunia mara saba na kimo chake kama andunje.
 
Met a hoja unahoja. Wachezaji wetu pia wamekaza sana, hawawezi nyumbulika mfano M. Hussein kakomaa sana, ata kupiga kichwa hawezi
 
Sawaaa Hawa japan unao walinganisha na sisi wale wanafuzu kila hatua maan timu wanazo pangwa nazo

Ndio maana hajawai kutika nusu fainaali au Sana robo anatolewa na hi no kwasabubub waanakwenda kukutana na wagerumanj warefu
Ww mjinga kweli hao japan si huwa wanakanda hata hao germany!! Umeshawaona wanavocheza hao japan kweli? Japan wana uwezo kucheza kwa ushindani na team yoyte dunian. Hao wa africa magharibi wapangwe na japan uone mpira sio mwili mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…