Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

Kwahiyo una support dhana ya only strong will survive? Waache watakaokufa wafe wataobaki sawa??
 
we unaonaje kwa financial status yetu??

Serikali inatakiwa itoe elimu sana na kuwaelimisha wananchi jinsi ya kuchukua tahadhari kuzuia kusambaa kwa corona,mwanzo walifanikiwa sana,ila kwasasa wananchi hawajali kabisa wanaishi kama hakuna covid vile ambayo ni hatari sana maana wenye risks(Weak) wengi wataondoka.
 
Haijampata mtu katika familia yenu ndio maana unaongea kwa kujiamini. Endelea hivyo hivyo siku ikimpata mmoja wenu ndio utajitambua.
Actually wapo wawili tena ndani ya wiki moja... na walizikwa pamoja. Nliumia sana. Lakini nikitazama kwa wenzetu wamejifungia ila bado maambukizi yapo juu na wanakufa... nasema ni heri kuchagua njia ya Mungu kuliko sayansi. Hili sio la saizi yetu.

Kwahiyo ww wala usijione una uchungu sana. Hata ilishatangazwa kuwa hii ni vita. Nadhani wajua ni nini kinatokea vitani. Halafu vua mnyororo shingoni, itakucost ndugu. Usiudharau mdomo una kulisha.
 
Umemwambia vizuri Sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…