Uchaguzi 2020 Tumevuka kigingi kimoja, bado kingine

Uchaguzi 2020 Tumevuka kigingi kimoja, bado kingine

Kuwaita watu wapumbavu kisa wana maono tofauti na wewe ni kuonyesha jinsi ulivyokosa utu kwa aslimia 100%
Wanaccm kama wewe niwa kupuuzwa
Inaonesha jina lako linakuakisi nakazia ni wapuuzi
 
Kama wewe ni mwerevu utagundua watega vigingi .....!!
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Vinginevyo maana yake ni nini hasa? Akishinda kwa haki hakuna atakayelalamika hata kidogo. Tatizo ni huko kupanga kushinda na kujipangia asilimia za ushindi kabla ya upigaji kura wenyewe.Mnalazimisha ushindi na wakati hamwezi kushawishi wapiga kura?
 
Kingi Cha kwanza Tundu Lisu kabwagiwa kwenye kura za uteuzi kamati kuu kaongoza Nyalandu kigingi Cha pili kinamngoja baraza kuu .Bado ana vigingi vya kuvuka si vibaya akianza kujiandaa kisaikolojia akibwagwa na baraza kuu
Mmeshindwa kumzuia kuendelea kutoa elimu ya uraia bure kwa watanzania, kwangu hicho kilikuwa kigingi.
 
Tanzania jana ilikuwa kwenye darubini za Jumuiya za Kimataifa kuhusu kuwasili kwa Tundu LISSU. Taasisi nyingi zilitegemea kungetokea vurugu nchini na polisi kumkamata Tundu LISSU.

Kwa ujumla mapokezi yalikuwa salama na Tundu Lissu hakukamatwa, hicho ni kigingi cha kwanza ambacho tumekivuka. Kigingi cha pili ni uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Je, utakuwa huru na haki, uchaguzi huu utatuweka tena kwenye darubini za kimataifa.
Magufuli lazima atawale awamu ya pili, mtake au msitake.
 
Kigingi cha pili tutaanguka maana kila mpumbavu anadhani Lissu ataukwaa Urais ingawa ukweli JPM atashinda zaidi ya asilimia 90 hata iwe kwa haki au vinginevyo.
Familia yangu na jamaa zangu nimewaambia hata kwa dawa wasimpigie kura
 
Vinginevyo maana yake ni nini hasa?Akishinda kwa haki hakuna atakayelalamika hata kidogo.Tatizo ni huko kupanga kushinda na kujipangia asilimia za ushindi kabla ya upigaji kura wenyewe.Mnalazimisha ushindi na wakati hamwezi kushawishi wapiga kura?
Piga ua, kwenu uchaguzi wa huru na haki ni mgombea wa upinzani kushinda tu. Tumeishawachoka
 
Back
Top Bottom