Tumewasikia Bashe, Mpina, Tulia na wazalishaji sukari. Tumeelewa nini?

Stuka

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
282
Reaction score
906
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.

Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
 
Hapa Tanganyika tutaibiwa Sana🤣🤣🤣🤣🤣
 
  • Thanks
Reactions: I M
Elfu 20 tu saizi zote. Weka oda mapema 😁😁

IMG-20240630-WA0093.jpg
IMG-20240630-WA0092.jpg
IMG-20240630-WA0094.jpg
 
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.

Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Hakuna la kufanya hapo, hivi katiba ya wananchi wote itaanza lini?
 
20240702_212239.jpg

Kuiba ni sawa ila uibe kwa urefu wa kamba yako. Mpina na yeye atatute pa kuiba bhaas.
 
Anaitafutia CCM hela ya kampeni ndiyo maana amelindwa kwenye hili sakata
Hivi Watanzania huwa inakuwaje hadi kujidanganya kujiringanisha na Kenya?
Tanzania ndiyo pekee inaweza kupigwa mnada na wananchi wake wakiwa wametulia wakidai wanalinda na kuenzi Amani na Utulivu.

Nchi hadi kuwa nchi siyo kitu kidogo, tafsiri ya nchi ni kwamba kuna watu (just raia wa kawaida) wapo tayari kumwaga damu yao kuipigania dhidi ya yeyote atakayethubutu kuichezea au kuchezea rasilimali za nchi hiyo, au hadhi, au mustakabili, au vizazi vya wananchi wa nchi hiyo…Tanzania si moja wapo.
 
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.

Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Nimeelewa kuwa spika na bunge lake la ndiyo mzeee ni kikundi cha kutetea maslahi yao binafsi na hayo yanafanywa wazi wazi haitaji kuwa na D mbili kuelewa
 
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.

Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Mpina ameonewa.

Bashe kakiuka taratibu kwa hila na apaswa kujiuzulu nafasi ya uwaziri wa Kilimo.

Kamati pia imechukua maamuzi kwa shinikizo la Spika ambae nae amekosea kwa kutozingatia kanuni zote za Bunge. Hivyo kamati imekosa sifa (credibility) ya kufanya maamuzi mengine muhimu siku za usoni.

Wazalishaji wako sahihi kabisa kwa maelezo yao yalojitosheleza ingawa video halisi ilichakachuliwa na vyombo vya habari. Kwa ujinga au kutokufahamu vyombo vyote vya habari vimeweka video ya aina moja kwenye YouTube ambayo imechakachuliwa.

Hiyo yaonyesha kwamba vyombo hivi vya habari vyote kwa pamoja vimekubaliana kufanya hivyo (kuchakachua na kurusha).

Niongeze la mwisho ni wananchi wamechanganyikiwa kwani wapo wasomi, waso wasomi na wote wapo kwenye kapu moja wakizunguruka.

Mwisho kabisa ni wapinzani wameanza tena kujiteka kwenda CCM hivyo nguvu ya upinzani bungeni haipo ambapo walipaswa kulishikia bango suala la Sukari.
 
Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Msomali katembeza rushwa ya kutosha
 
Hivi Watanzania huwa inakuwaje hadi kujidanganya kujiringanisha na Kenya?
Tanzania ndiyo pekee inaweza kupigwa mnada na wananchi wake wakiwa wametulia wakidai wanalinda na kuenzi Amani na Utulivu.

Nchi hadi kuwa nchi siyo kitu kidogo, tafsiri ya nchi ni kwamba kuna watu (just raia wa kawaida) wapo tayari kumwaga damu yao kuipigania dhidi ya yeyote atakayethubutu kuichezea au kuchezea rasilimali za nchi hiyo, au hadhi, au mustakabili, au vizazi vya wananchi wa nchi hiyo…Tanzania si moja wapo.
Vijana na wazee wao kutwa wanabishania Simba na Yanga, ukiwatajia mustakabali wa nchi wanakuambia ili mradi wanapata ugali na dagaa na hakuna vita basi inatosha sana. Watu modeli hii kuwaamsha kwenye huu usingizi wao si rahisi. Ukitaja Katiba mpya ndiyo wanakuzomea kabisa wanakuambia kwani Katiba Mpya itanipa sahani ya ugali mezani. Mzee Jomo Kenyatta alipomwambia Mwalimu Nyerere kuwa anatawala maiti hakukosea kabisa.
 
Aliwahi kuandika Robert Heriel Mtibeli akimiasa Tundu Lissu kwamba anakosea sana kuwapigania masikini, of which ni kweli kabisa. Masikini diyo wa kupiganiwa maana ataku backbite vibaya sana. Masikini hawajawahi kuwa na shukurani, masikini anahitaji chakula ale akalale au ashibishe tumbo lake kwa wakati huo.

Masikini hawazii vizazi vijavyo, masikini anajua mafanikio ni kuishi vizuri, masikini anajua ukipata kila kitu pasipo hutakiei kuendelea kuhangaika kufanya kazi.
Masikini anaamini ukishapata unatakiwa uache kuhangaika, tafuta kivuli ukae na uanze kula.
 
Back
Top Bottom