Anaitafutia CCM hela ya kampeni ndiyo maana amelindwa kwenye hili sakataBashe kaiba pesa ya Watanganyika Kwa niaba ya Wenzake
Alaaniwe RangoMpina ameonewa .
Bashe amekosea .
Tulia amekosea .
Kamati imekosea.
Peter msechuElfu 20 tu saizi zote. Weka oda mapema 😁😁
View attachment 3032333View attachment 3032334View attachment 3032335
Hakuna la kufanya hapo, hivi katiba ya wananchi wote itaanza lini?Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Mbona hakuna za Kijani?Elfu 20 tu saizi zote. Weka oda mapema 😁😁
View attachment 3032333View attachment 3032334View attachment 3032335
Kamba ikiwa mbovu je?View attachment 3032355
Kuiba ni sawa ila uibe kwa urefu wa kamba yako. Mpina na yeye atatute pa kuiba bhaas.
Hivi Watanzania huwa inakuwaje hadi kujidanganya kujiringanisha na Kenya?Anaitafutia CCM hela ya kampeni ndiyo maana amelindwa kwenye hili sakata
Nimeelewa kuwa spika na bunge lake la ndiyo mzeee ni kikundi cha kutetea maslahi yao binafsi na hayo yanafanywa wazi wazi haitaji kuwa na D mbili kuelewaMgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Mpina ameonewa.Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Msomali katembeza rushwa ya kutoshaMgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Vijana na wazee wao kutwa wanabishania Simba na Yanga, ukiwatajia mustakabali wa nchi wanakuambia ili mradi wanapata ugali na dagaa na hakuna vita basi inatosha sana. Watu modeli hii kuwaamsha kwenye huu usingizi wao si rahisi. Ukitaja Katiba mpya ndiyo wanakuzomea kabisa wanakuambia kwani Katiba Mpya itanipa sahani ya ugali mezani. Mzee Jomo Kenyatta alipomwambia Mwalimu Nyerere kuwa anatawala maiti hakukosea kabisa.Hivi Watanzania huwa inakuwaje hadi kujidanganya kujiringanisha na Kenya?
Tanzania ndiyo pekee inaweza kupigwa mnada na wananchi wake wakiwa wametulia wakidai wanalinda na kuenzi Amani na Utulivu.
Nchi hadi kuwa nchi siyo kitu kidogo, tafsiri ya nchi ni kwamba kuna watu (just raia wa kawaida) wapo tayari kumwaga damu yao kuipigania dhidi ya yeyote atakayethubutu kuichezea au kuchezea rasilimali za nchi hiyo, au hadhi, au mustakabili, au vizazi vya wananchi wa nchi hiyo…Tanzania si moja wapo.
Aliwahi kuandika Robert Heriel Mtibeli akimiasa Tundu Lissu kwamba anakosea sana kuwapigania masikini, of which ni kweli kabisa. Masikini diyo wa kupiganiwa maana ataku backbite vibaya sana. Masikini hawajawahi kuwa na shukurani, masikini anahitaji chakula ale akalale au ashibishe tumbo lake kwa wakati huo.Vijana na wazee wao kutwa wanabishania Simba na Yanga, ukiwatajia mustakabali wa nchi wanakuambia ili mradi wanapata ugali na dagaa na hakuna vita basi inatosha sana. Watu modeli hii kuwaamsha kwenye huu usingizi wao si rahisi. Ukitaja Katiba mpya ndiyo wanakuzomea kabisa wanakuambia kwani Katiba Mpya itanipa sahani ya ugali mezani. Mzee Jomo Kenyatta alipomwambia Mwalimu Nyerere kuwa anatawala maiti hakukosea kabisa.