peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Pia tumeona Bosi wa ZRA kawa bosi wa TRA😏 mmeelewa nini kuhusu mapato ya bara kuhamishiwa Visiwani?Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Bashe yupo sahihi kwa asilimia zote.Mgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Huko shule ulienda kusomea ujinga .Bashe yupo sahihi kwa asilimia zote.
Ni yeye peke yakje ndiye aliyefanya maamuzi ya kulikoa jahazi kwa kuagiza sukari kwa haraka na kuweza kushusha bei ya sukari.
Wazee wa sukari walinishangza waliposema wamekosa meli ya kupakilia sukari kutoka Brazil.
Cha kushangza ikiwa wao ni magwiji wa sukari kama waliuvyojitapa vipi 'wauza vocha" waweze kupata meli na kuingiza sukafi kwa haraka?
Walitudanganya sana katika maelezo yao. Watanzania tunachotaka ni sukari tena ya bei nafuu.
Maelezo ya Tulia, yalitulia, alituhakikishia bungeni kuwa Tanzania sukari ni bei ya juu kuliko nchi zinazotuzunguka kwa viwango vy akusimumuwa.
Wazuu wa sukari na mpina hawakuliona hilo? Na ujanja wao wote wa sukari.
Heko kwa Bashe na heko kwa kuvunha mono[poly yao, sasa au wazalishe au wasizalishe bohari za za kuhifadhi chakula zitajaza sukari na wataagiza waonavyo wao sahii ikibidi.
Binafsi nampongeza saba Bashe.
Mpina wa kuhurumiwa tu, kwa usongo wake wa kukosa uwaziri kuwa na fitina za kila siku bungeni kama vile mawaziri ndiyo walimkosesha hiyo kazi.
Wapi ninaweza kupata takwimu za ile project ya "BBT" ?Bashe anachonifurahisha siyo kwenye sukari tu, anapofanya maamuzi magumu kwenye kilimo. Ndani ya uwaziri wake Tanzania tunapeleka mazao ya chakula nje ya Tanzania kwa kufata utaratibu wa kutuwezesha kukusanya mapato na takwimu sahihi.
katika uongozi wa Bashe tunaona ruzuku za wakulima zikiongezeka na tunaona zikizaa matunda.
Bashe ni Bingwa.
Ukiona vitoto vya simba vinacheza porini......kuwa makiniMgogoro na kashfa ya sukari inayoendelea nchini iliyopelekea kufukuzwa bungeni kwa Mbunge Mpina tayari tumemsikia mpina, tumesikia maelezo ya bashe, tumesikia maelezo ya kamati ya bunge, tumesikia maelezo ya spika tulia na tumewasikia wazalishaji wa sukari.
Kama taifa tumeelewa nini Mpina ameonewa? Bashe yuko sahihi? Tulia yuko sahihi? Kamati iko sahihi? au wazalishaji wako sahihi?
Nimerekebisha.Huko shule ulienda kusomea ujinga .
Wizara ya kilimo.Wapi ninaweza kupata takwimu za ile project ya "BBT" ?
Hahaha umeeleza vizuri sifa njema za Maskini.Aliwahi kuandika Robert Heriel Mtibeli akimiasa Tundu Lissu kwamba anakosea sana kuwapigania masikini, of which ni kweli kabisa. Masikini diyo wa kupiganiwa maana ataku backbite vibaya sana. Masikini hawajawahi kuwa na shukurani, masikini anahitaji chakula akalale au ashibishe tumbo lake kwa wakati huo.
Masikini hawazii vizazi vijavyi, masikini anajua mafanikio ni kuishi vizuri ukipata kila kitu pasipo kufanya kazi. Masikini anasmini ukishapata unatakiwa uache kuhangaika, tafuta kivuli ukae na usnze kula
Za kijani ziko wapi?Elfu 20 tu saizi zote. Weka oda mapema 😁😁
View attachment 3032333View attachment 3032334View attachment 3032335
Sina access ya kufika wizarani , hakuna nakala tepe nijisomee?Wizara ya kilimo.
HahahahView attachment 3032355
Kuiba ni sawa ila uibe kwa urefu wa kamba yako. Mpina na yeye atatute pa kuiba bhaas.
Kabisa lo muda ni jibu zuri