Mtumishiwetu
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 196
- 346
Mjadala wa Bandari umeteka mitandao yote iwe Instagramu, Jamii Forums, Youtube, Twitter, Facebook na mitandao mingine, pia mjadala mkali kwenye vijiwe vya kahawa, mitaani na maeneo mbalimbali yanayokutanisha watu kila mtu akiongea la kwake.
Tumeshamsikia Waziri Profesa Mbarawa, Tumemsikia Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Tumewasikia wabunge na Spika wa Bunge na wabunge, tumeshamsikia Waziri Mkuu, tumeshasikia maazimio ya Halmashauri Kuu ya CCM, tumeshasikia viongozi wa Dini, tumeshasikia wanasiasa, tumeshasikia wanasheria, tumesikia asasi za kiraia, tumesikia na makundi mbalimbali ya wananchi wa kada mbalimbali.
Swali langu ni moja tu MJADALA HUU WA BANDARI HITIMISHO LAKE NI LIPI?