Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

Tumezubaa Tanzania mpaka kutawaliwa na kikundi cha wachache hivi?

Yapo majiinga yanasapoti CCM
Gentleman,
kila mTanzania ana uhuru na haki ya kusapoti chama chochote cha siasa nchini bila kujali porojo, mihemko au makasiriko nonsense ya mTanzania mwingine 🐒
 
Sahihi, hizi familia imefikia wakati tuseme INATOSHA...yaani tukiendelea lala, nasi tutaingia kwenye kundi la Cameroun, ambao wanaongozwa na Kikongwe Biya ,tena kwa remote kutokea Uswiss..wananchi wote wamenywea..dadekiii
 
Kikwete family yake, Samia family yake wameweza kututeka, kubaka watu na kuiba pesa kwasababu ya ujinga wa wananchi
Ni ujinga ni wako wewe familia yako. Baba yako alikuwa wapi wakati Kikwete na Samia wanaweka mazingira ya kutawala nchi hii? Au alikuwa anakunywa mataputapu.
 
Kikundi cha wajinga wenye maokoto ya kutosha.

Nadhani hizo pesa ndo zinawapa kinga
 
Kasema nyinyi wananchi ndio wajinga.
Kwani ukitaka tuishi bila kutawaliwa? Kikwette aligombea 2005 je wewe na baba yako hamkujua kwamba kuna kuchukua fomu?

Kazi kuouga kelele na wivu tu, mkiambiwa mkagombee hamgombei
 
Kwani ukitaka tuishi bila kutawaliwa? Kikwette aligombea 2005 je wewe na baba yako hamkujua kwamba kuna kuchukua fomu?

Kazi kuouga kelele na wivu tu, mkiambiwa mkagombee hamgombei
Kugombea ni njia moja ya kuleta mabadiliko, lakini kukosoa na kuhoji kama mpiga kura pia ni sehemu ya msingi ya kujenga uongozi bora. Shenzy taipu
 
Back
Top Bottom