Tumfahamu mwenye Kampuni inayokua kwa kasi ya ajabu "BiKO"

Tumfahamu mwenye Kampuni inayokua kwa kasi ya ajabu "BiKO"

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Aisee huyu jamaa ana speed ya ajabu natamani nimjue mmiliki wake ,pamoja na nguvu kubwa za makampuni nguli kama Meridian na sportpesa ila BiKo kaibuka kinara wa ulipaji kodi kwa makampuni ya michezo ya kubahatisha.

Kwa mwezi jana tu kaipa serikali ya TZ kiasi cha Tsh 2.1billion , kumbuka hawa jamaa wameanza juzi tu mwezi wa 4^2017
(Hii ninishara kubwa ya mafanikio wanayoyapata kama kampuni)

Majuzi wamelunch tena Sport Bett ...
na sasa wanachezesha michezo mingi zaidi ya ubashiri online .
www.bikosports.co.tz

My take
Nataka kumjua muhusika wa hii kampuni , salamu zangu za pongezi zimfikie moja kwa moja kwa uthubutu na uwezo wake mkubwa wa kufanya marketing ikiwa ni kuunda management imara kwa kampuni yake. (ipo management skill ya kujifunza kutoka kwake)
 
Mi nlidhan ni Majizzo... kumbe kuna don mwingine
watu huwa kisema hivyo ... ila huyu jamaa ajitokeze kwa ajili hata ya kufanya Motivation kwenye maswala ya marketing and management.

Nadhani ana kitu ndani yake ..ni kati ya watu wasiostahili kujificha.
 
mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
 
Ivi hawa wa TATU MZUKA nani anahusika nao?
Maana kuna WEB, CTV, ETV, ITV, Clauds etc, etc...
 
mpeni naswaha aache kuchezesha kamali kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
Ukiwa unacheza hiyo kamari unakuwa umefungwa pingu au unalazimishwa?
I think is your willing decision (unacheza ukiwa na utayari na ukijua kuna kupata na kukosa simply bahati nasibu.
Over
 
mpeni naswaha aache kuchezesha kamali kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
kamali - kamari.
 
Back
Top Bottom