Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe jichunguze unaweza kua mfano hai.Mfano nani?
Nani alielalamika sasa? Ndio wabongo mkiambiwa ukweli mnaanza ooh hiviara vile. We unakutana na wangapi mtaani wanasema maisha magumu? Mean whole kuna mtu analipa kodi per month bilion 2.wewe jichunguze unaweza kua mfano hai.
kwahiyo biko ni majizo & co ?majizo na wenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tafuta jipya hili shalizoea na hata halija nishtua mwenzanguMm sijui hata unatafuta nn huku saa hizi , nilidhani ungekua busy kubadilisha Pedi mda huu.
Kuna wanawake lazima kuwatongoza Ukishawapiga Pipe adabu ndio inakuja nadhani ww mmoja wapo unataka Kitu .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tafuta jipya hili shalizoea na hata halija nishtua mwenzangu
Inawezekana kweli nataka kitu,lakini sio kws mtu mwenye akili za baby care na body lux. Jielewe kwanzaKuna wanawake lazima kuwatongoza Ukishawapiga Pipe adabu ndio inakuja nadhani ww mmoja wapo unataka Kitu .
Itakua Mengi refer Jackpot bingo enzi hizo,,watu walipigwa sna hela,,mshua alikua anakuja na tiket zake anampa kila m1 ya kwake tuwe tunakata namba,,ila kweli wajinga ndo waliwaoUjasiriamali uliopo kwenye Biko na Bikosports saizi yake nionavyo ni ama Ali Mfuruki au Dr Mengi.
Niliwaza kama wewe mkuuMi nlidhan ni Majizzo... kumbe kuna don mwingine
uisilam ni dini ya waarabu vipi dini yako ya kiafrika inasemaje kuhusu kamari?mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
[emoji1] [emoji1]nimekimbia kuwahi nikajua nitamuona...kumbe na wewe humfahamu
Mkuu vipi hajajulikana hadi sasa?[emoji1] [emoji1]