Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hizi sub-units wanao tata uweke namba 3 za bahat na utaje vituo vyao, inamaana iyo ela inakua ndo pato lao au?Tatu Mzuka nilimuona Sebastian Maganga wa Clouds..nadhani ana cheo pale 3 mzuka
Nilikuwa nawaza The same same ..au ni yule jamaa anaitwa mpoki sijui ...Ni Dokii!!
Na wanaolalamikaga mda wote , mara nyingi hawafanikiwagi .Maisha haya,acha tu kila mtu atoke anavyoweza kwa style ake. Wengine tuna henya wengine wanatoboa.
changamkia fursaNa hizi sub-units wanao tata uweke namba 3 za bahat na utaje vituo vyao, inamaana iyo ela inakua ndo pato lao au?
Maana naona ni ka fursa... na mimi nifungue account ni-advertise nijilie commission
Kama ni mkristo je? Napo aache? vitu kibao haramu sio kamari peke yake!mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
Mfano nani?Na wanaolalamikaga mda wote , mara nyingi hawafanikiwagi .
Ni kweli kabisa aise,Ni ya Dokii na Mpoki.Nilikuwa nawaza The same same ..au ni yule jamaa anaitwa mpoki sijui ...
[emoji23] [emoji23] na ninao waona wanaongoza kwa kushinda hizi kamari ni waumini wako ustaadhi.mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
alale njaa wkt yy siyo mwislam?mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....