Tumfahamu mwenye Kampuni inayokua kwa kasi ya ajabu "BiKO"

Tatu Mzuka nilimuona Sebastian Maganga wa Clouds..nadhani ana cheo pale 3 mzuka
Na hizi sub-units wanao tata uweke namba 3 za bahat na utaje vituo vyao, inamaana iyo ela inakua ndo pato lao au?
Maana naona ni ka fursa... na mimi nifungue account ni-advertise nijilie commission
 
mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
Kama ni mkristo je? Napo aache? vitu kibao haramu sio kamari peke yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…