Tumfahamu mwenye Kampuni inayokua kwa kasi ya ajabu "BiKO"

wewe jichunguze unaweza kua mfano hai.
Nani alielalamika sasa? Ndio wabongo mkiambiwa ukweli mnaanza ooh hiviara vile. We unakutana na wangapi mtaani wanasema maisha magumu? Mean whole kuna mtu analipa kodi per month bilion 2.
 
Hawa wenye hizi kampuni za khamari wanatengeneza hela sana. Juzi tu hapa Sweden ilikua inazungumziwa hili suala la hawa jamaa na kopato chao pammoja na watu wanavyo poteza hela zao hadi kuingia kwenye madeni.
Ebu angalia hapa Tanzania kuna watu zaidi ya 50 milions, tuseme wenye uwezo wa kucheza ni watu milioni mmoja, kila mtu alipe 1000 kwenye mchezo, 1000 000×1000=1000 000 000 hizo hela zigawe kwenye kampuni 10 tofauti zinazo chezesha inakua 100 000 000 just imagine hapo ni kampuni mmoja tu inaweza kuingiza milioni mia au zaidi kwa wiki.

Nchini Sweden kuna kampuni ya kuchezesha hizi khamari SVENSKASPEL lakini wao hawapo kwa ajili ya faida ya mtu binafsi, wao faida inawarudia vijana.
Mfanao mchezo mmoja unaoitwa eurotips wanaweza wakainiza 10 000 000 krons sawa na 1000000 dola au ziadi kidogo, na wakatoa hela kwa washindi around 500 000 dolars, cha ziada ni hela zitakazo jenga viwanja vya aina mbali mbali mitaani, wanaangalia pale panapo hitajika, ni mkoa bani, walaya gani, kijiji gani kinahitaji kutengenezewa viwanja, na hapo sio tu eurotips pekee, kuna michezo tofauti zaidi ya 50, kila mmoja inaingiza dola milioni mmoja. Na uzuri wao hawa hua wanaandikaga kiasi kilichopatikana kila siku.
Serikali ya Tanzania nao wangeanzisha kitu kama hicho ili kuboresha michezo
 
Mm sijui hata unatafuta nn huku saa hizi , nilidhani ungekua busy kubadilisha Pedi mda huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tafuta jipya hili shalizoea na hata halija nishtua mwenzangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tafuta jipya hili shalizoea na hata halija nishtua mwenzangu
Kuna wanawake lazima kuwatongoza Ukishawapiga Pipe adabu ndio inakuja nadhani ww mmoja wapo unataka Kitu .
 
Kuna wanawake lazima kuwatongoza Ukishawapiga Pipe adabu ndio inakuja nadhani ww mmoja wapo unataka Kitu .
Inawezekana kweli nataka kitu,lakini sio kws mtu mwenye akili za baby care na body lux. Jielewe kwanza
 
Ujasiriamali uliopo kwenye Biko na Bikosports saizi yake nionavyo ni ama Ali Mfuruki au Dr Mengi.
Itakua Mengi refer Jackpot bingo enzi hizo,,watu walipigwa sna hela,,mshua alikua anakuja na tiket zake anampa kila m1 ya kwake tuwe tunakata namba,,ila kweli wajinga ndo waliwao
 
The bad thing ni watu wataendelea kupgwa hela asee,,yaan watangazaj wanavoipa promo mpk najiulizaga hawajistukii hawa kuona watu wanavopgwa,,utawaskia eti inaweza kuwa bahati yako
 
Hii ni uongo..hawana uwezo wa kupata bilion 20.labda wana uwezo wa kulipa kodi ya 200mio kwa mwezi kwa mwaka 2.4 B
 
mpeni naswaha aache kuchezesha kamari kwa hakika hiyo ni haramu ...katika sheria ya kiislamu hizo Mali zote alizochuma kupitia hiyo biko zatakiwa kufanywa kuwa Mali za uma....
uisilam ni dini ya waarabu vipi dini yako ya kiafrika inasemaje kuhusu kamari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…