>>> Fanya hii Sala asubuhi na jioni, baada ya muda utayaona majibu.
amenMungu ni wa kila mtu usiache kumuomba na atakuletea ndoa.
Amen ππ½Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote.
Kwa hiyo nakuomba ee Bwana unisaidie kuchagua kwa hekima, nipate mchumba mwema, safi na mwaminifu, nifuate zaidi uzuri wa roho kuliko wa uso, zaidi tabia njema kuliko umaridadi.
Mioyo yetu iwe ya kulingana, na nia zetu zipatane, tupate kuishi pamoja na amani na kulea jamaa zetu kwa kukuheshimu wewe na baraka zako Amina.
Je sala ya kupata maokoto?ipo?ya afya njema?Ee mwumba wetu, umewaunganisha watu katika ndoa takatifu nami natumaini kupokea Sakramenti hiyo na kushirikiana na mwenzangu wa ndoa maisha yangu yote.