Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

Tumia mafuta ya habat soda (black seed oil) kutibu magonjwa mengi

Jitahidi sana kunywa Maji mengi na mlo kamili
Pia
Punguza shughuli zile usiku Wa manane
Usiende zaidi ya Goli mbili

Sent using Jamii Forums mobile app
c184ea13385643a5e5d51fa43ea60813.jpg
 
Kwa mafuta halisi Wasiliana nami +255752995192
 
Kawaida yako kwa parkage tofauti na bei tofauti na nadhani pia quality tofauti, ahsante mzizi mkavu mi nimekuwa nikishughulija na haya mafuta kuuza kwa miaka mitatu sasa nilishangaa baada ya kumuona mzee aliyekuwa amepooza kwa miaka mitatu anatembea baada ya kutumia chupa sita. Na nilipigwa na butwaa zaidi baada ya kumuona mtu akipona kwa dakika kumi tu.. tangu hapo niligundua ni kitu cha thamani mno.. nimekuwa nikisambaza na kufundisha kuhusu haya mafuta maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Now niko Geita. Nadhani tunachohitaji zaidi ni elimu coz mengine ni feki. Nawasilisha.
Mimi nahitaji ya mafuta na ya unga ntakupatajee
 
Mwanangu mwenye minyoo tele isiyoisha atumie vipi hii dawa?
 
Je, hii dawa ina complications zozote iwapo utatumia au kuzidisha kipimo?
 
Back
Top Bottom