getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,822
Jitahidi sana kunywa Maji mengi na mlo kamili
Pia
Punguza shughuli zile usiku Wa manane
Usiende zaidi ya Goli mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi sana kunywa Maji mengi na mlo kamili
Pia
Punguza shughuli zile usiku Wa manane
Usiende zaidi ya Goli mbili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nahitaji ya mafuta na ya unga ntakupatajeeKawaida yako kwa parkage tofauti na bei tofauti na nadhani pia quality tofauti, ahsante mzizi mkavu mi nimekuwa nikishughulija na haya mafuta kuuza kwa miaka mitatu sasa nilishangaa baada ya kumuona mzee aliyekuwa amepooza kwa miaka mitatu anatembea baada ya kutumia chupa sita. Na nilipigwa na butwaa zaidi baada ya kumuona mtu akipona kwa dakika kumi tu.. tangu hapo niligundua ni kitu cha thamani mno.. nimekuwa nikisambaza na kufundisha kuhusu haya mafuta maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Now niko Geita. Nadhani tunachohitaji zaidi ni elimu coz mengine ni feki. Nawasilisha.
Hizi ni mti wa black seed.
Unaitwa mlonge au moringa.
Imejaa tele nchini lakini watu hawataki kusema ukweli.View attachment 943769View attachment 943770