L Luggy JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 4,152 Reaction score 4,076 Oct 19, 2026 #1 Katika Video hii,Twaha Mwaipaya anaongelea mbinu za kukwepa kutekwa Attachments AQP1SG-ZNb0UyCFCuAJo4x72ZQubjQOnftzS8kIyFMSzizm_53R2Npb1rMcd_Wby6uv_DlaRaaQuQ2fsRZTYPLRxBcL2-F...mp4 44.3 MB
0 004 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 2,257 Reaction score 3,239 Oct 19, 2026 #2 Luggy said: Katika Video hii,Twaha Mwaipaya anaongelea mbinu za kukwepa kutekwa Click to expand... Tip Nyingine Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa akikupongeza - HAMA MTAA! haupo SALAMA!
Luggy said: Katika Video hii,Twaha Mwaipaya anaongelea mbinu za kukwepa kutekwa Click to expand... Tip Nyingine Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa akikupongeza - HAMA MTAA! haupo SALAMA!
L Luggy JF-Expert Member Joined Aug 6, 2012 Posts 4,152 Reaction score 4,076 Oct 19, 2026 Thread starter #3 004 said: Tip Nyingine Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa akikupongeza - HAMA MTAA! haupo SALAMA! Click to expand... hao watu hatari sana
004 said: Tip Nyingine Tlaatlaah au Lucas Mwashambwa akikupongeza - HAMA MTAA! haupo SALAMA! Click to expand... hao watu hatari sana
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Oct 19, 2026 #4 Ukijijua tu unavurugana na wenye nchi ishi kikomando komando, japo sio rahisi sana lakini muda wote alili zako ziwe timamu, jitahidi kubadili muonekano wako, mawasiliano yako yasiwe wazi wazi kama kina sisi tunaoiogopa serikali
Ukijijua tu unavurugana na wenye nchi ishi kikomando komando, japo sio rahisi sana lakini muda wote alili zako ziwe timamu, jitahidi kubadili muonekano wako, mawasiliano yako yasiwe wazi wazi kama kina sisi tunaoiogopa serikali