Na kwa watumiaji wa IOS tunafanyaje?Kama hauna access na What's app, youtube,facebook etc fanya yafuatayo.
1.Download EASY VPN APK unlimited kutoka google search au store yoyote ile mfano APK pure
2. Ukifungua file utaiona inalangi ya kijani na icon ya tembo.
3Ili uwezekuinatal itakulazim kuruhusu application from other sources (kwasababu hujaitoa play store)
4.install application yako ya VPN na open
5.yatatokea maandishi ya kichina huku moja likiwa limezungushiwa ..bonyeza hilo lililo zungushiwa ..tayari VPN yako itakua active
6.icon ya tembo (VPN ) itatoke.
Tayari utaweza kutumia mitandao ya kijamii kama kawaida.
ASANTE.
NB:Kwa watumiaji wa Android