Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Ukifungua hii link umeliwa kichwa, acheni utapeli
Kwa watumiaji wa android, kwakuwa Play store imeshaingiliwa, huwezi download chochote hata hiyo VPN. Ila bado hujashindwa.

Fungua hii link nakupa. Download kisha Install. Ukishamaliza Fungua na bonyeza Connect.

Hakikisha kwenye simu yako juu kuna alama ya Ufunguo. Ukiuona ufunguo jua uneshakuwa Vpn family. Mia

 
Wewe Unataka kuingiza watu mkenge
Nenda Google search EXPRESS VPN, kisha itakuja Kama inavyoonekana kwenye picha hapo, ukishadownload install, Kisha chagua try free trial , weka email yako Kisha utakua umebakiza setting chache rahisi kuendelea kuperuzi mitandao ya kijamii, free trial ikiisha muda wake uninstall uinstall upya then endelea na free trial tena . Hapo utakua umeizunguka serikali dhalimu. Mwambie na mwenzio wote turudi online.

View attachment 1614133
 
Huyo ni link ya kitapeli
kuna watu wa ajabu sana Dunia hii
wote tunataka kutoka katika shimo hili la giza angalau tupate mwanga huko juu tuitumie Internet hata kwa mambo mengine. wengine mnafurahi tunavyoangamizwa kwa ajili tu masanduku yabadilishwe
huko porini mpini wa shoka ndio unaosaidia shoka kumaliza miti ili ukame uendelee
Malawi, Kenya, Misri, Libya walianza hivihivi mamluki wenye njaa kusupport ...... miaka mitano sio mingi
 
Nimefanikiwa kurudi hewani kwa UFO vpn na kazi zangu zinaendelea kama kawaida.

Hii tabia ya kuzima mitandao inatuathiri hata tusio na mahaba na siasa.
 
Kama hauna access na What's app, youtube,facebook etc fanya yafuatayo.

1.Download EASY VPN APK unlimited kutoka google search au store yoyote ile mfano APK pure

2. Ukifungua file utaiona inalangi ya kijani na icon ya tembo.

3Ili uwezekuinatal itakulazim kuruhusu application from other sources (kwasababu hujaitoa play store)

4.install application yako ya VPN na open

5.yatatokea maandishi ya kichina huku moja likiwa limezungushiwa ..bonyeza hilo lililo zungushiwa ..tayari VPN yako itakua active

6.icon ya tembo (VPN ) itatoke.

Tayari utaweza kutumia mitandao ya kijamii kama kawaida.

ASANTE.
NB:Kwa watumiaji wa Android
 
Back
Top Bottom