Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Wale wanao pata shida ya Internet mnashauriwa ku download proton VPN then una install na una opt sehemu ya free make kuna kulipia.

Fanyeni hivyo CCM walisha slow down internet
kwa sasa huwezi hata ku download hiyo vpn
 
download vpn kwa app store au play store, ina logo ya pembe tatu ya kijani then unachagua nchi utakayo basi unajiachia freeeeeeeeeeeeeeee
haiji ikoje niwekee picha screenshot
 
Nime download vpn lakini sijui inatumikaje kama hapa kinachofua Ni nini
Screenshot_20201027-160826.jpg
 
Mie hata hiyo play store haitaki kufunguka [emoji36][emoji16][emoji16] najiungaje sasa mmh
Pole itakuwa sasa wamezidi Mimi nilivoingia JF nikasoma ku download hyo vpn,nikafanya chap hyo asubuhi, sasa hivi wote wanaojaribu inawagomea
 
Hivi ile Dec 9 1961 tulipata uhuru gani
Hatukupata uhuru wowote.

Hawa maharamia weusi walibadilishana madaraka na wazungu halafu mfumo wa kikoloni ukabaki pale pale!

Ni kakikundi kadogo mno cha watu wasiozidi mia tatu ndicho kanachoitaabisha hii nchi.

Watanzania milioni sitini tumegeuzwa watumwa na kakikundi kadogo mno kanachojificha nyuma ya sketi za polisi na askari jeshi.

Hako kakikundi kanahitaji dawa, na itapatikana hata kwa kuchelewa.

Watoto wetu hawawezi kuja kuishi kwenye linchi la kipuuzi namna hii. Watatushangaa mno ni jinsi gani tulikuwa washenzi.
 
Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.

SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.

MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.

TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME
Thank you so much brother [emoji120][emoji120][emoji120] hiii UFO VPN ni nouma [emoji817]
 
Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo

Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November

Kama siitaji kupiga kura so Sina haki ya kutumia internet kwa speed niliyolipia?
 
Back
Top Bottom