Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Dah picha nilizoziona twitter za ndugu zetu watanzania wenzetu waliouwawa kinyama hazipendezi sitazipost lakini serikali ya CCM kwakweli haifai.
 
Maswali uliyouliza sina majibu nimeona taarifa kama ilivyo nimeisoma tu.
 
Back
Top Bottom