Melanny
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,247
- 2,234
Nipo zangu South Africa.Mimi nimeweka ya USA huko
Nainjoy maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo zangu South Africa.Mimi nimeweka ya USA huko
Ndio.play storeInapatikana play store.
WamekusikiaWale wanao pata shida ya Internet mnashauriwa ku download proton VPN then una install na una opt sehemu ya free make kuna kulipia.
Fanyeni hivyo CCM walisha slow down internet
Ukishadownload unawasha data au wifi?Nipo zangu South Africa.
Nainjoy maisha.
Download proton vpn.After kudownload nafanyeje ili niweze tumia iyo ya free.
Nipo zangu South Africa.
Nainjoy maisha.
Ndio.play store
Huwezi amini CCM ilishatunga hadi sheria ya kukataza VPN Tanzania![emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1613498
Inazingua aisee Ina dowld Ila ai install.
umefanyaje?
Pwa mkuu ngoja n restart.Angalia kama simu ina space ya kutosha ikiwa nayo restart simu yako.
Naona picha mbaya za ndugu zetu wanzanzibar wakiwa wameuawa.
[/QUOTE
Wameuhawa Lin na Kina Nan na wangapi?
Ok mkuuNitapigwa ban nakutumia PM
We jamaa na uelewa mwingi kumbe mweupe kabisa kwenye IT. Hebu jiongeze napo uguseguse kidogotueleze vizuri unafanyaje kuipata hiyo proton, wengine haya mambo si wajuzi wa hivyo
Rio, Brazil.[emoji16]Paris-France
Ndiyo. Kuna internet ya free?Ni lazma uwe na MB kutumia AVN?