Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.

SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.

MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.

TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME
Mwewe Kazini hutupati ng'oo
 
Tumia UFO VPN, ni free

(i) Android phone

(ii) Apple phone
Mwewe kazini...hahahaha
 
We jamaa na uelewa mwingi kumbe mweupe kabisa kwenye IT. Hebu jiongeze napo uguseguse kidogo
FIELD OF EXPERTISE ZINATOFAUTIANA...... from time immemorial hatujawahi kuwa na mazingira ya necessity ya kujua mambo ya VPN... there should be a cause for somebody to know something...... Leo kuna need ndiyo maana nimeliza kujua. Kukosa kujua VPN siyo kutojua lolote katika mambo ya IT.
 
Tumieni Windscribe VPN hiyo ni BURE kabisa, ili kupambana na haya MAHARAMIA ya CCM ambayo hayataki mpate haki yenu ya kujihabarisha.
 
Wakuu hata vodacom ikuwa kama halotel na download hiyo proton
 
Kutokana na kutoweza kufungua vizuri baadhi ya mitandao leo ukitaka kuingia fanya hivi;
Nenda playstore andika VPN Kisha download,
Ukiifungua hiyo app itakuelekeza mpaka uta connect hapo utaanza kuvinjari kwenye kivinjari chako kama kawaida ikiwemo kule Twitter bila tatizo.
VPN nyingine zinaleta option ya kulipia uta skip kwa kurudi back then utaconnect.

Kesho tukafanye maamuzi sahihi kwani hali ilipofikia mnaona wenyewe.

Good afternoon.
View attachment 1613745
 
Usiwadanganye watz wasiojua mawasiliano hakuna huduma ya ufo vpn free Africa labda baadhi ya nchi za ulaya huko. Vikosi vya ulinzi na usalama viko alert kwa lolote na lazima vione viashiria vya kuleta vurugu Bado mapema na baadhi mitandao ya kijamii huwa ndiyo chanzo

Kila mmoja atimize wajibu wake wewe nenda kapige kura na wacha vikosi vya usalama vifanye kazi zake mpaka kuapishwa kwa Rais Mteule hapo November
Noted
 
UPDATES: Kwenye tukio la kuuawa watu watatu kwenye kijiji cha Kangagani, jimbo la Ole, kaskazini Pemba, mpasha habari wetu aliyeko kwenye eneo la tukio ametujulisha hivi punde taarifa za waliouawa kwamba wote walipigwa risasi wakiwa majumbani ama vibarazani:

1. Bi Asha Haji Hassan mwenye umri wa miaka 33 ameuawa wakati akitoka nyumbani kwa baba yake kwenda nyumbani kwake. Bi Asha ameacha mume na watoto sita.

2. Yussuf Shaame Muhiddin mwenye umri wa miaka 27 ameuawa wakati akiwa barazani anacheza keramu na wenzake. Hana mke wala watoto.

3. Komba Hamad Salum (maarufu Kipigi) mwenye umri wa miaka 30, naye alikuwa barazani pake wakati alipopigwa risasi na kuuawa. Ameacha mke na watoto watatu.

Kwa upande wa majeruhi, ambapo hadi sasa idadi inayofahamika ni tisa, ni hawa wafuatao:

1. Abbas Haji Nyange (miaka 27), amepigwa risasi wakati akichota maji kwenye mfereji nyumbani kwake. Utumbo umetoka nje, na kwa sasa amewahishwa Hospitali ya Vitongoji.
2. Bakari Khamis Bakari (miaka 55)
3. Mukhtar Yahya Hassan (mtoto wa miaka 16)
4. Khamis Mohammed Mmanga (miaka 40)
5. Hassan Kombo Ali (mtoto wa miaka 13)
6. Abbas Mgau Ali (miaka 22)
7. Mgau Omar Mgau (miaka 35)
8. Hamad Omar Hamad (miaka 20)
9. Ali Hamad Seif (16)

Hadi tunakwenda hewani, bado maiti zote zipo kijijini Kangagani na baadhi ya majeruhi wameshindikana kupelekwa hospitalini kwa sababu ya kutanda maaskari kwenye barabara za kuelekea Chake Chake, Vitongoji na Wete.

Hilmi Hilal kwa kushirikiana na Weyani TV itakuwa inakuletea muhtasari wa mwenendo wa mambo kama yanavyojiri na kupokelewa na dawati letu la habari.

#ZanzibarLivesMatter
#Pray4Zanzibar
 
Kutokana na kutoweza kufungua vizuri baadhi ya mitandao leo ukitaka kuingia fanya hivi;
Nenda playstore andika VPN Kisha download,
Ukiifungua hiyo app itakuelekeza mpaka uta connect hapo utaanza kuvinjari kwenye kivinjari chako kama kawaida ikiwemo kule Twitter bila tatizo.
VPN nyingine zinaleta option ya kulipia uta skip kwa kurudi back then utaconnect.

Kesho tukafanye maamuzi sahihi kwani hali ilipofikia mnaona wenyewe.

Good afternoon.
View attachment 1613745
kwenye simu ya mkononi inaleta utitiri wa VPN, so which is which
 
Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.

SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.

MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.

TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME


Inakubal kwenye iOS au ni Android tu?
 
tueleze vizuri unafanyaje kuipata hiyo proton, wengine haya mambo si wajuzi wa hivyo
download vpn kwa app store au play store, ina logo ya pembe tatu ya kijani then unachagua nchi utakayo basi unajiachia freeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom