Tumieni VPN kama internet iko slow sana

Na kwa watumiaji wa IOS tunafanyaje?
 
Mpaka sasa nikekosa ya IOS msaada tafadhali
Tumia windscribe inakupa 10gb per month bure,
Jinsi ya kujiunga,

Download kupitia AppStore ni bure,
Jiunge kupitia email account yako ambayo IPO live,
Baada ya chagua free plan kisha utakuwa tayar na utakuwa unapewa 10gb free kila mwez.

Hopefully itakusaidia!
 
Na Kwa Zaid wanakupa 10 different locations
 
Mkuu mbona nimeinstall vizuri na kile kifunguo kimetokea lakin bado sizipat WhatsApp, tweeter na zingine tatizo nini au nimekosea wap
 
Napakua vipi kwa App store wakati nayo imepigwa pini mkuu.. nataka apk
 
Jiwe anazidi kupoteza kura TWITER HAIFUNGUKI.

SELIKALI ILIPIGA MARUFUKU MATUMIZI YA VPN.

MIMI NIIONA NI SELIKALI YA KISHETANI SASA NATUMIA UFO VPN INADOWNLOAD HADI DAMU.

TUMIENI UFO VPN.
JIWE LIKOME
Nenda south faster zinafunguka zooote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…