Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop


Nadhani hili ndo la msingi. King angekuwa ame-mantain toka enzi hizo mpaka sasa pengine tungeweza kumwita King au angalau angekuwa hayupo kabisa dunia lakini akawa ametamba kwa wakati huo hapo sawa lakini sasa hivi yupo na kashapotea mda mrefu uliopita aaahhh hapo tutasita kumwita Mfalme
 

Umeandika kwa ufasaha sana.kudos.
 
Tena nashangaa mtu ana ngoma hata hazifiki tano (nadhani zipo tatu) zinazojulikana 'eti' anapewa ufalme.....tuache upenzi na tuwe wakweli, Hashim hastahili ufalme, kwanza pale bongo flavour ilipoanza kupewa airtime ya kutosha radioni yeye alikuwa keshapotea. ..
 

Kwa hizo criteria ulizozitaja kwa nini asiitwe mfalme?
 
Ningependa kujua nyimbo zake huyo Dogo hashomu zilizo hit!
Alishawai kufanya show gani?

ngoma iliyohit inaitwa Tunasonga amemshirikisha bwana mdogo Kalapina.
Pia yuko kwenye mixtape ya Explastaz ktk nyimbo inayoitwa Round table.
Shadow in the Darkness ni nyimbo yake iliyotamba early 90's
 
Msitumalizie chaji kwny cmu zetu,mtu anaimbia bafuni tutamkubalije na kumwita mfalme?!!TUTOLEENI UTOTO HAPA
 
Msitumalizie chaji kwny cmu zetu,mtu anaimbia bafuni tutamkubalije na kumwita mfalme?!!TUTOLEENI UTOTO HAPA

ASIYEHUSIKA NA HIPHOP ATOKE wa kwanza wewe nenda kamsubiri Dai na Kiba makocha wa team zenu huku ni wale wenye IQ kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…