Mtamile
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 2,838
- 1,274
Alkua tu mwandishi mzuri, kuusu ufalme iyo hapana aise, lakini rhymin jamaa kweli ALIKUA anaweza, sasa kwanin siku izi hayupo? nnavyojua mtu kuitwa mfalme ina maana we ni kiongozi wa teritory mpaka kufa, sasa hatuwezi kumuita mfalme akati hayupo tena, ha-exist.. tumuiteni best lyrcist au best rhymer au best freestyler, au sijui nini kingine, kuhusu ufalme hapana
Nadhani hili ndo la msingi. King angekuwa ame-mantain toka enzi hizo mpaka sasa pengine tungeweza kumwita King au angalau angekuwa hayupo kabisa dunia lakini akawa ametamba kwa wakati huo hapo sawa lakini sasa hivi yupo na kashapotea mda mrefu uliopita aaahhh hapo tutasita kumwita Mfalme