Kuna mwanamke mi ananipa kiwewe'yani mchana akikosa usiku anajihukumu mwenyewe"sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema'kwakweli naona bora kuweka nanga mapema"mtoto wakitanga!!!haya ni baadhi ya mashairi katika wimbo mmoja alioshirikishwa kati ya uniq sisters au jay dee.to me jamaa alikua ana mtiririko mmoja Wa ajabu sana akiwa anachana na uwezo Mkubwa wakufree style kwa kustick kwenye muktadha.
Nilimkubali,namkubali na nitaendelea kumpa heshima yakipekee sana laiti angeamua kuendelea na game kusingalikua na MTU ambae angegusa moto wake.kwasisi wagumu wageto anaendelea kubaki kua MFALME wetu .
"Wape salamu washirikina Wa temeke waroge waue ata albino,sasa nawatoa kwenye game tena kwa goli lakisigino"ahaa yeah nakupa hai kamanda KALA PINA