Tumjadili Hashim Dogo na Ufalme wake wa Hip - Hop

me co mkongwe sana na ni mdau wa hiphop na nmebahatika kusikia ngoma za hipo ikiwa za kwanza unit,xplastaz,hard blst,flavour dogz na makundi meng sn na hata ngoma zao ambazo ziliskika chimbo tu,kama hashim dogo angekua anaendelea kuchana bas angekuwa mfalme,hakika anajua kuchana
 
Tofauti na Marekani, rappers wengi wa zamani hapa Bongo walikuwa na uwezo wa kawaida. Heshima pekee ni kwa sababu walianzisha. Ukiwaweka kwenye mizani na new cats, wanatulizwa bila wasi. The likes of K.U, Sugu, Saigon, ni ukongwe tu.
 
Kuna mwanamke mi ananipa kiwewe'yani mchana akikosa usiku anajihukumu mwenyewe"sumu asipewe na mwanaume mwingine anatema'kwakweli naona bora kuweka nanga mapema"mtoto wakitanga!!!haya ni baadhi ya mashairi katika wimbo mmoja alioshirikishwa kati ya uniq sisters au jay dee.to me jamaa alikua ana mtiririko mmoja Wa ajabu sana akiwa anachana na uwezo Mkubwa wakufree style kwa kustick kwenye muktadha.

Nilimkubali,namkubali na nitaendelea kumpa heshima yakipekee sana laiti angeamua kuendelea na game kusingalikua na MTU ambae angegusa moto wake.kwasisi wagumu wageto anaendelea kubaki kua MFALME wetu .

"Wape salamu washirikina Wa temeke waroge waue ata albino,sasa nawatoa kwenye game tena kwa goli lakisigino"ahaa yeah nakupa hai kamanda KALA PINA
 
House of Music; Watoto wadogo tumewafunza wenyewe mziki halafu ma.lafa tu,wao ni mak.... sie hatuna huruma.......Nimebeba mbeleko mgongoni nimebeba kino ,nimetweta kama chino ongea nikutoe jino.
 
Back
Top Bottom