Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi
wake wa kike. Mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya kwanza na ya pekee.
Picha linaanza alipopokea hela ya kustaafu aligawia ndugu zake hela kidogo kidogo pia akatoa zaka
Mil 10 ndipo akaanza ujenzi Pesa ikaisha hajamaliza ujenzi akaenda kukopa amalizie nyumba.
Na wakat anajenga hakushirikisha watoto na hata hela hawajui alipata sh ngapi. Alipotaka kukopa ili amalizie nyumba ndio alipowashirikisha watoto wake.
Matokeo yake anaishi kiujanjaujanja kama winga kutokana na kukatwa pensheni yake mkopo wa miaka 5.
Je, huyu mstaafu tumuweke fungu gani?
Mimi my take niliona kwqnza alibugi hyo fungu la 10. sipingi kutoa mchango kanisani/msikitn lakini kwa
akili zangu za kubeba tofali saiti huyu mama hakupaswa kutoa zaka ya mil 10. Kwangu mimi namuweka kundi la wastaafu maskini ikiwa hata nyumba yake kajenga kwa hela ya kustaafu.
Kama ni zaka kwa hali yake huyu alipaswa atoe hata mil 1 badala ya milion 10 aliyoenda kuitoa alipopata tu cheque yake.
Hii ilikua miaka 6 nyuma.