Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

Huyu Sasa inabidi nikampe neno la katiba mpya ,wakati akiwa utumishi aliminya haki za watu kupanda vyeo
Kweli kabisa! Ukiona watu wa namna hii ndo wale wenye dhuruma! Alidhurumu kadhurumiwa! Kwa umri huo hajui kwamba zaka au sadaka zinatolewa mahali pale ambapo unajua kwa hakika nitabarikiwa! Sehemu nyingine unapelekea wezi!
 
Zaka ni 10% ya pato. Kwahiyo alilipwa million 100. Akatoa mil. 10 na kubaki na mil. 90. Hiyo mil. 90 ingetosha kabisa kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba 3 na kubaki!
Unafahamu kuwa kwa kikokotoo kipya kinacho tumika saiv kuna wastaafu hulipwa mafao ya mil 30 mpka 40 ama chini ya hapo? Hyo milioni 100 ilikuwa kikokotoo kile cha zamani.
 
Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi
wake wa kike. mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya kwanza na ya pekee.

Picha linaanza alipopokea hela ya kustaafu aligawia ndugu zake hela kidogo kidogo pia akatoa zaka
Mil 10 ndipo akaanza ujenzi Pesa ikaisha hajamaliza ujenzi akaenda kukopa amalizie nyumba.

Na wakat anajenga hakushirikisha watoto na hata hela hawajui alipata sh ngapi. Alipotaka kukopa ili amalizie nyumba ndio alipowashirikisha watoto wake.

Matokeo yake anaishi kiujanjaujanja kama winga kutokana na kukatwa pensheni yake mkopo wa miaka 5.

Je, huyu mstaafu tumuweke fungu gani?

Mimi my take niliona kwqnza alibugi hyo fungu la 10. sipingi kutoa mchango kanisani/msikitn lakini kwa
akili zangu za kubeba tofali saiti huyu mama hakupaswa kutoa zaka ya mil 10. Kwangu mimi namuweka kundi la wastaafu maskini ikiwa hata nyumba yake kajenga kwa hela ya kustaafu.

Kama ni zaka kwa hali yake huyu alipaswa atoe hata mil 1 badala ya milion 10 aliyoenda kuitoa alipopata tu cheque yake.

Hii ilikua miaka 6 nyuma.
Hayuko peke yake wako wengi.
Afadhali ya huyo.
Yuko mmoja alihamia hotel anakodi magari ya kutembelea halafu ana mabaunsa.
Kuja kushtuka salio limekata leo yupo ubanda na ana madeni kila baa.
Wastaafu ni mizigo....wanajisahau sana.
Mwingine alitapeliwa afuge kware.
 
Zaka ni 10% ya pato. Kwahiyo alilipwa million 100. Akatoa mil. 10 na kubaki na mil. 90. Hiyo mil. 90 ingetosha kabisa kujenga nyumba ya kawaida ya vyumba 3 na kubaki!
Huu ni upumbavu unaoendekezwa na makanisa. Kamwe sitakaa nitoe zaka kwa hizi hesabu za 10%... mstaafu naye ni mtu mpumbavu sana. Miaka yote aliyofanya kazi kwenye utumishi aliikabidhi akili yake hiyo ajira.
 
Alipopata pesa alitakiwa awashirikishe wanae kwanza au angeacha kugawa ovyo angemalizia ujenzi kisha angetoa sadaka kidogo
Haaaahaaa!! Ndugu hujawahi kuona wazee baadhi Yao wakipata pesa[emoji23][emoji23][emoji23] Sisi Bimkubwa wetu alipopata pesa akawa hapokei simu zetu na Wala hajatushirikisha chochote ! Aliunga urafiki na mdogo wetu wa kiume mtu mzima pia. Tulikuja kushangaa alishanunua Alphad na kanunua Boma lisiloisha na pesa imeisha!! Nafuu yake ni kwamba tulikuwa na Nyumba kubwa tuu aliyoiacha Marehemu Mzee.
 
Kwanza mmejuaje kiwango cha zaka alichotoa kama sio anasali kwa wale wahuni, zaka na sadaka ni siri.
I guess ni mmama wa hovyo tangu ujana wake.
 
Unafahamu kuwa kwa kikokotoo kipya kinacho tumika saiv kuna wastaafu hulipwa mafao ya mil 30 mpka 40 ama chini ya hapo? Hyo milioni 100 ilikuwa kikokotoo kile cha zamani.
Hela ya kustaafu ni hela nyingi mkuu kwa watumishi waliokuwa wanalipwa vizuri! Ni milions zaidi ya 300 wengine hadi mil 600-800 hivi. Wakitumia kikokotoo cha 25% hakosi million 100 kwa walio wengi! Kinachowaponza wastaafu ni dhuruma na kudidimiza haki za wafanyakazi wenzao na viburi katika walipokuwa kazini! Kuna mmoja kastaafu kajiingiza kuwekeza katika mashamba na viwanja kama wanavyokariri! Asilimia kubwa ya maeneo alipigwa! Ukimuona utamuhurumia! Somo: ukiwa kazini usidhurumu haki za watu!
 
Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi
wake wa kike. Mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya kwanza na ya pekee.

Picha linaanza alipopokea hela ya kustaafu aligawia ndugu zake hela kidogo kidogo pia akatoa zaka
Mil 10 ndipo akaanza ujenzi Pesa ikaisha hajamaliza ujenzi akaenda kukopa amalizie nyumba.

Na wakat anajenga hakushirikisha watoto na hata hela hawajui alipata sh ngapi. Alipotaka kukopa ili amalizie nyumba ndio alipowashirikisha watoto wake.

Matokeo yake anaishi kiujanjaujanja kama winga kutokana na kukatwa pensheni yake mkopo wa miaka 5.

Je, huyu mstaafu tumuweke fungu gani?

Mimi my take niliona kwqnza alibugi hyo fungu la 10. sipingi kutoa mchango kanisani/msikitn lakini kwa
akili zangu za kubeba tofali saiti huyu mama hakupaswa kutoa zaka ya mil 10. Kwangu mimi namuweka kundi la wastaafu maskini ikiwa hata nyumba yake kajenga kwa hela ya kustaafu.

Kama ni zaka kwa hali yake huyu alipaswa atoe hata mil 1 badala ya milion 10 aliyoenda kuitoa alipopata tu cheque yake.

Hii ilikua miaka 6 nyuma.
Msikitini hakuna fungu la kumi wala mchango wowote ule wa kupangiwa.

Usihusishe vitu usivyovielewa kujengea hoja yako.
 
Back
Top Bottom