Tumjadili Jean Baleke, tusisubiri mpaka akosee

Unamuona Bora baada yakucheza na mtibwa
Ngoja tuone maji yatajitenga na mafuta tu.
Kaifunga Raja mgoli wa kideo. Kamfunga Horoya magoli 2.We bado unawaza mtibwa tu.Hizi roho zenu mbaya zitawafanya muwe wachawi uzeeni.

Hata ukimuuliza mayele mwenyewe nani anamuogopa kwenye ligi ya nbc atakwambia Baleke. Halafu wewe Ntumpikere la sangwamwarugesha unasema Baleke hamna kitu
 
Mi ni Yanga ila jamaa anajua sana nadhani safari ya GSM Lubumbashi alienda kufunga kazi Mayele atatokea pembeni Musonda pembeni Baleke kati Kisha nyumba Yao Aziz Ki
 
Kule kwao alipigwa na 'kitu kizito' hadi TP Mazembe wakaona hawafai wakamtoa kwa mkopo au.
 
Jini hili[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…