OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini umeikwepa Horoya akifunga goli 2 au mgoli wa Raja?Unamuona Bora baada yakucheza na mtibwa
Ngoja tuone maji yatajitenga na mafuta tu.
Huu uzi unakuzidi kimo nafikiri ungesaidia dada zako kuosha vyomboKabla ya baleke ingekuwa busara turudi kumjadili Kibu D kwanza mbona kama tumemtelekeza?
Kaifunga Raja mgoli wa kideo. Kamfunga Horoya magoli 2.We bado unawaza mtibwa tu.Hizi roho zenu mbaya zitawafanya muwe wachawi uzeeni.Unamuona Bora baada yakucheza na mtibwa
Ngoja tuone maji yatajitenga na mafuta tu.
Hajui wala hakuona .Chura [emoji196][emoji196]alikuwa majarubani anaogeleaKwa nini umeikwepa Horoya akifunga goli 2 au mgoli wa Raja?
Lile goli limeingia kwenye mchuano wa goli Bora..akili kubwa sana.Jini hilo ile kamba yake na Raja naishia kusema tu 'what a baller? Top player.
Mi mwenyewe Yanga aFlikA mwenzio 😂😂😂Mimi mwenyewe Yanga lakini Baleke anajua 😂😂😂
Ambaye ndio huyo ameivusha Simba robo huku Mazembe wakishindwa hata kuifunga UtoKule kwao alipigwa na 'kitu kizito' hadi TP Mazembe wakaona hawafai wakamtoa kwa mkopo au.
Wakati anacheza na Horoya hukuona?Unamuona Bora baada yakucheza na mtibwa
Ngoja tuone maji yatajitenga na mafuta tu.