momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
Usije kuchanganya mkuu wapo wachezaji watatu wanaojaribiwa,yupo Kelvin Moyo,Ian Nyoni na huyu galala Coulibally.Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.
kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?
Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
Moyo nafikiri ni beki ya kati anatumia zaidi mguu wa kushoto huyu ni mtulivu sana nilivyomuona anafanya build up vizuri sana ila nahisi sio aggressive sana.
Ian Nyoni ni winga ndo huyo nafikiri unaemsema anakasi mara zote anapenda kuliendea goli na ana miguu mijanja mijanja.
Wa mwisho ndio huyu Coulibally ambae hana chakulezewa maana ni hamna kitu ni moja ya mabeki wakati wazembe mno asiejua akae wapi timu inaposhambuliwa.