Tumjadili Thadeo Lwanga

Tumjadili Thadeo Lwanga

Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.

kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?

Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
Usije kuchanganya mkuu wapo wachezaji watatu wanaojaribiwa,yupo Kelvin Moyo,Ian Nyoni na huyu galala Coulibally.

Moyo nafikiri ni beki ya kati anatumia zaidi mguu wa kushoto huyu ni mtulivu sana nilivyomuona anafanya build up vizuri sana ila nahisi sio aggressive sana.

Ian Nyoni ni winga ndo huyo nafikiri unaemsema anakasi mara zote anapenda kuliendea goli na ana miguu mijanja mijanja.

Wa mwisho ndio huyu Coulibally ambae hana chakulezewa maana ni hamna kitu ni moja ya mabeki wakati wazembe mno asiejua akae wapi timu inaposhambuliwa.
 
Wewe angalau umeongea ambacho wengi hawataki kusikia. Kutoka Mk14 ndo chanzo cha tatizo.
Mi napenda kusema ukweli mara nyingi.
Ili mtu akinisoma ajirekebishe.
Bwalya kabadilika sana, na Mugalu pia anahitaji kubadilika.
La asubiri mechi za mchangani.
 
Usije kuchanganya mkuu wapo wachezaji watatu wanaojaribiwa,yupo Kelvin Moyo,Ian Nyoni na huyu galala Coulibally.

Moyo nafikiri ni beki ya kati anatumia zaidi mguu wa kushoto huyu ni mtulivu sana nilivyomuona anafanya build up vizuri sana ila nahisi sio aggressive sana.

Ian Nyoni ni winga ndo huyo nafikiri unaemsema anakasi mara zote anapenda kuliendea goli na ana miguu mijanja mijanja.

Wa mwisho ndio huyu Coulibally ambae hana chakulezewa maana ni hamna kitu ni moja ya mabeki wakati wazembe mno asiejua akae wapi timu inaposhambuliwa.
Basi sawa, maoni yako yatasomwa na wahusika.
 
Wewe angalau umeongea ambacho wengi hawataki kusikia. Kutoka Mk14 ndo chanzo cha tatizo.
Nafikiri Mugalu anatakiwa kupunguza Mazoezi gym na kuzingatia zaidi Mazoezi ya kukimbia hasa zaidi short sprinting zinasaidia kumtengenezea wepesi.waalimu wampunguzie Mazoezi ya vitu vizito vizito.anaoenekana hana balance ya mwili juu nimzito mno kuliko chini.anatakiwa akimbie sana
 
Tumjadili Thadeo Lwanga kwa mechi 3 za Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.

Je atakua msaada kwa Simba? Wakati tunamjadili Lwanga tuangalie na uwezo wa
1. Mkude
2. Mzamiru
3. Ndemla na mtangulizi wale[emoji116]
4.Gerson Fraga

View attachment 1675081
Anacheza sana rafu za viatu tena za dhahiri na wakati mwingine anakabia mikono. Kwenye michuano mikubwa kama ya CAF kila mechi atakula umeme.
 
Nahisi Kama tumepigwa tena....akiwa anakaba anacheza rafu sana tena nyingi anatumia na mikono....mipira ya juu naona inapita tu....labda tumpe muda zaidi.....ila yule beki wa kati wa majaribio.....arudushwe kwao haraka....hafai kabisa.
Nimejiuliza nimekosa majibu

Aliyetia ndimu ili Lwanga asajiliwe nahisi kapiga pesa.
 
Nafikiri Mugalu anatakiwa kupunguza Mazoezi gym na kuzingatia zaidi Mazoezi ya kukimbia hasa zaidi short sprinting zinasaidia kumtengenezea wepesi.waalimu wampunguzie Mazoezi ya vitu vizito vizito.anaoenekana hana balance ya mwili juu nimzito mno kuliko chini.anatakiwa akimbie sana
Hakika wewe umesema kweli kabisa.
Angefata ushauri wako angetisha sana.
Noted.
 
Hakika wewe umesema kweli kabisa.
Angefata ushauri wako angetisha sana.
Noted.
Huyu anatakiwa kucheza na koni tu kama mwezi hivi.asubuhi yeye ni koni tu jioni anajoin na wenzie.huyu ni old type striker.yani hana mambo mengi ni mzuri sana kwenye positioning.
 
Hakika.
Ningependa nimfikishie jumbe zako azifanyie kazi.
Ushauri murua kabisa.
 
Kuna mchezaji anaitwa Moyo, ni mzuri kupita kiasi ana chenga anakaa na mpira na ana advnce, lakn naambiwa akrushiwa virago vyake na Matola.

kikweli sasa ndiyo naona kwann hatuna makocha. hivi unawezaje kumchukua Lwanga ukamtema Moyo?

Matola anasaliji kwa ajili ya 10% siyo kwa ajili ya uwezo wa mtu. Maana Moyo ni mzuri mnooo
halafu Simba wanapenda sana mchezaji (beki) aitwe kolibaly😁
 
0Kohokohokohooooo chura bhana! Usajili wa akina balinya, ype, kalengo maybin, sarpong, yacouba ndio usajili au Utopolo kama mlivyo UTOPOLO??
Mtoe Yacouba kwenye hili kundi otherwise ukiri kwamba umeongea kishabiki.
 
Tumepigwaa, anacheza sana rafu, hayuko smart kwenye kukaba, pasi hasa za kuhamisha mipira sijaona kwakwel, turns zake pia mmh..
Nahisi Kama tumepigwa tena....akiwa anakaba anacheza rafu sana tena nyingi anatumia na mikono....mipira ya juu naona inapita tu....labda tumpe muda zaidi.....ila yule beki wa kati wa majaribio.....arudushwe kwao haraka....hafai kabisa.
Mo sijui ubahili na usanii ataacha lini...kwa kweli hakuna beki pale.Kwann asitafute beki wa maana kabisa kwa pesa ya maanaa!!Maana haiwezekani ni njia ileile ya kuchukua wachezaji wasiojulikana background zao ndo inatumika kama zamani kitu ambacho hakihitajiki kwa Simba hii ya kisasa buana
 
Hapa tusimung'unye maneno.Kwa hatua hii tuliyofika ya group stage tunahitaji kusajili beki mwenye uwezo wa hali ya juu na ikiwezekana vuta hata beki aliye timu ya Taifa au Club kubwa/Ligi inayoheshimika.Sio unaleta beki wa ajabuajabu kama yule
Hujajibu swali hilo bado, wasiojulikana na nani? Ulimjua Fraga kabla hajaja VPL? Ulimjua Kotei? Ulimjua Majabvi? Ndio maana nakuuliza wewe kama mtoa post, wasiojulikana kwa nani?
 
Si
Mo sijui ubahili na usanii ataacha lini...kwa kweli hakuna beki pale.Kwann asitafute beki wa maana kabisa kwa pesa ya maanaa!!Maana haiwezekani ni njia ileile ya kuchukua wachezaji wasiojulikana background zao ndo inatumika kama zamani kitu ambacho hakihitajiki kwa Simba hii ya kisasa buana
Mara nyingi kazi ya kusajili hufanywa na kamati ya usajili.... kwa sababu ya majukumu ya kimaisha....wajumbe wake hawana muda wa kufatilia wachezaji....ushauri kwa uongozi....kamati hii ni ya muhimu sana....wangeifanya wajumbe Wake wakawa na ajira angalau ya mkataba... hii ingewasadia wajumbe kuwa na utulivu wakati wa kutafuta wachezaji.
 
Hapa tusimung'unye maneno.Kwa hatua hii tuliyofika ya group stage tunahitaji kusajili beki mwenye uwezo wa hali ya juu na ikiwezekana vuta hata beki aliye timu ya Taifa au Club kubwa/Ligi inayoheshimika.Sio unaleta beki wa ajabuajabu kama yule
Simba wakati haina pesa ilikuwa inasajili wachezaji wazuri lakini sasa hivi inaungaunga
 
Back
Top Bottom