Tumkumbuke Luteni Rajab A. Mlima

Upo sahihi sana mike!
 
Post ya zamani lakini kama bado hupo jf ukweli ni kwamba kama wewe ni askari aliyeiva unafahamu fika kwamba Hamna vita ya mtu mmoja na kwenye hii kampuni Hamna askari muhimu kuliko mwingine. Aliye in direct contact/mstari wa mbele ni sawa na aliye jikoni akiaandaa hot meal ili wewe uliye front ukirudi ukute share na scale yako hipo tiyari. Na anayepika Ana muhimu sawa na yule aliye zamu ya kusafisha Vyoo au anayeokota ming'ao.
 
Mleta uzi amemfahamu huyu na kupendezwa kumtambulisha kwetu wana jamvi. (Jambo jema).
Wewe pia ni ruksa na muafaka kuja na historia na maelezo ya yeyote anayestahili kutambulishwa. Sidhani kama kuna "why huyu yako". Asante.


Ana roho ya kichawi huyu ndugu
 
Chanzo hasa cha mapigano nchini Congo ni kipi? maana tangu tukiwa watoto tunasikia misitu ya Goma, hadi leo tunaanza kuota mvi bado tunasikia watu wanakufa misitu ya Goma - wakongomani wana matatizo gani hasa kukaa pamoja na kuyamaliza ? kipi kinakwamisha?

RIP ndugu yetu, yote haya sababu ya kuwatetea hawa waafrica wenzetu wa Zaire ambao wamegoma kabisa kukaa pamoja makabila yote ya kumaliza tofauti zao.
 
Uko sahihi kwa asilimia zote, hajui anachozungumza hata kidgo kipindi cha adolf hilter wa aina hiyo tyr tushawafukia mapema
 
Leo nimemkumbuka huyu Bro Sanaa RIP Lt Rajabu wa Maajabu
 
Bado sijaelewa vzr. Kuna chochote special ambacho kamanda huyu amefanya? Manake Kuna mashujaa wengi Tz, walikufa wakilitetea taifa. Hao M23 waliua Askari wetu Kama name at once!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…