Tumkumbuke Luteni Rajab A. Mlima

Tumkumbuke Luteni Rajab A. Mlima

kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).
nmeandika nikiwa na uzoefu katika kupata medani hii ngumu na adimu( not every soldier can become a commando, but all commandos are soldiers)
Upo sahihi sana mike!
 
Post ya zamani lakini kama bado hupo jf ukweli ni kwamba kama wewe ni askari aliyeiva unafahamu fika kwamba Hamna vita ya mtu mmoja na kwenye hii kampuni Hamna askari muhimu kuliko mwingine. Aliye in direct contact/mstari wa mbele ni sawa na aliye jikoni akiaandaa hot meal ili wewe uliye front ukirudi ukute share na scale yako hipo tiyari. Na anayepika Ana muhimu sawa na yule aliye zamu ya kusafisha Vyoo au anayeokota ming'ao.
 
Mleta uzi amemfahamu huyu na kupendezwa kumtambulisha kwetu wana jamvi. (Jambo jema).
Wewe pia ni ruksa na muafaka kuja na historia na maelezo ya yeyote anayestahili kutambulishwa. Sidhani kama kuna "why huyu yako". Asante.

Ana roho ya kichawi huyu ndugu
 
Chanzo hasa cha mapigano nchini Congo ni kipi? maana tangu tukiwa watoto tunasikia misitu ya Goma, hadi leo tunaanza kuota mvi bado tunasikia watu wanakufa misitu ya Goma - wakongomani wana matatizo gani hasa kukaa pamoja na kuyamaliza ? kipi kinakwamisha?

RIP ndugu yetu, yote haya sababu ya kuwatetea hawa waafrica wenzetu wa Zaire ambao wamegoma kabisa kukaa pamoja makabila yote ya kumaliza tofauti zao.
 
kabla hujaandika hivyo ni vyema ungefaham tu hata robo ya kadhia na magum ya kupata medani ya ukomandoo, na ndipo ungekuja kulinganisha thamani ya hii nguvu kazi moja (komando rajabu) na maafisa wengine (wasio makomando).
nmeandika nikiwa na uzoefu katika kupata medani hii ngumu na adimu( not every soldier can become a commando, but all commandos are soldie
Uko sahihi kwa asilimia zote, hajui anachozungumza hata kidgo kipindi cha adolf hilter wa aina hiyo tyr tushawafukia mapema
 
Hiyo nembo ya ndege tai ni watu pekee au special ndiyo wanavaa na si akina Ze comedy.

Pamoja na shughuli zingine, komando anashuka kwa mwamvuli, helicopta na akitokea baharini, ziwani au mtoni anatumia boti ndogo.

Vilevile anatumia kamba kupanda na kushuka kwenye miamba mikubwa na mirefu.

Ni askari wa ngazi ya juu kabisa jeshini yaani "Elite", na ilibakia kupanda na kuwa kapteni ambapo angesaidia kuongoza kikosi.

Ila ukweli unabakia kuwa jeshi lina majukumu mbalimbali hivyo ni lazima ligawe majukumu hayo, lakini kwa watu maalum wenye sifa.

RIP Lt. Rajab Mlima
Leo nimemkumbuka huyu Bro Sanaa RIP Lt Rajabu wa Maajabu
 
Bado sijaelewa vzr. Kuna chochote special ambacho kamanda huyu amefanya? Manake Kuna mashujaa wengi Tz, walikufa wakilitetea taifa. Hao M23 waliua Askari wetu Kama name at once!
 
Back
Top Bottom