Tumkumbuke muasisi wa TANU Lameck Bugohe

Tumkumbuke muasisi wa TANU Lameck Bugohe

Na we King'asti ungeanza na NDUGU kahtaan. sio we ........!

umuitae ndugu ni yule at least anae ongea kama ndugu!
Mtu anakuja na kashfa hapa halafu unategemea mi nimwite ndugu kwa biashara gani!
Halafu mi nakuliza. hivi kwanini hao wagalatia wenzako wanapotukana au kukashifu SIJAKUONA HATA SIKU MOJA KUANDIKA KITU??
AU UMENIZIMIA NINI?? manake mapenzi nayo nuksi!
Unaweza mpenda mtu ghafla halafu badala ya kumpa maneno mazuri .we kazi yako ni kumchokoa na vijineno vya kuudhi tu!
Hebu kuwa muwazi hapa"why you always care what I say"" eey !!
Come on! Open up now!!
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="width: 660"]
[TR]
[TD]
The money was carried by a young girl who was a passenger on the bus.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Who is that girl?!. Kwenye doctrine ya "the end justifies the means", shujaa ni aliyebeba mzigo na kuufikisha na siye aliyekabidhi mzigo kwa mbebaji!.
Pasco.
 
kahtaan,

Kahtaan huna lolote, unavyokemea uje na lugha ya yenye stara, lakini umekuja na matusi, pamoja na pamoja na majibu ya hovyo hovyo. Na ukifuatili mijadala mingi lugha yako ni ya matusi, na bila shaka unajitambua. Ondoa boliti lako, ndiyo umgeukie mwenzako kumwambia aondoe banzi lake.
 
Last edited by a moderator:
Dadaangu Malluuni ni wewe yeriko nyerere usiejua kitu akili zako kama mbayu wayu
 
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Who is that girl?!. Kwenye doctrine ya "the end justifies the means", shujaa ni aliyebeba mzigo na kuufikisha na siye aliyekabidhi mzigo kwa mbebaji!.
Pasco.

Teh teh teh with my narrow mind i have directly i can understand what you meant. Mzee MS leta mambo.
 
Kahtaan huna lolote, unavyokemea uje na lugha ya yenye stara, lakini umekuja na matusi, pamoja na pamoja na majibu ya hovyo hovyo. Na ukifuatili mijadala mingi lugha yako ni ya matusi, na bila shaka unajitambua. Ondoa boliti lako, ndiyo umgeukie mwenzako kumwambia aondoe banzi lake.
Kyenju !! I love too "! teh teh teh teh!

mbona nyie watu mnamuona kahtaan tu?? Yaani ktk MEMBER ZAIDI YA LAKI anaetumia lugha kali kahtaan tu??!
Aisee nyie inaonekana siku nikiondoka mta ni miss saana! especially King'asti!! teh teh teh teh! she is always behind my back!! just like a stalker!!

Angalia POST ZANGU ZOOTE! HAKUNA SEHEMU MTU AKAKONGEA KISTAARABU MIMI NIKAMJIBU KASHFA!! HATTA SIKU MOJA!!
WE KAMA UNAO USHAHIDI LETA HAPA, NA MIMI NIENDE KUTUBU KWA PADRI!!

Otherwise nyie mtakuwa na macho kama ya njiwa! MANONA UPANDE MMOJA TU!

Chill out and Have a nice day kyenju, I am not going to bite you!!
 
Last edited by a moderator:
You can't bite me, check hata kwenye haya majibu yako umeonyesha nijinsi gani hata huwezi kujishikilia. Yaani kwako kuandika kitu bila kuhusisha ukristo hicho bado hakijakamalika, mara yako ya mwisho kutubu kwa padri ni lini?
 
Teh teh teh teh!
Kwi kwi kwi!
Haki ya mungu umenichekesha sana Kyenju ! Yaani mpaka leo hujanijua tu!
Mi ni mtu ninaependa jokes! Sasa kwani ubaya kucheka kidogo!
Acha jazba mkuu! Utakuja athiri moyo wako bure!!

I have another joke here!;

A priest is on a subway train.
A man opposite lowers his newspaper to reveal himself to be a hard-living man who smells of alcohol, has lipstick on his collar and is wearing rumpled clothes in which he has clearly been out all night

.With pain in his eyes, the man asks the priest:
“Father, what causes dyspepsia, gout and cirrhosis?”The priest replies:
“My son, they are caused by a wild lifestyle, gluttony, alcohol abuse, and the company of wicked women.”

The man says: “Amazing.

”The priest says: “Would you like to be free of these ailments?”

The man replies: “I don’t have them. The newspaper says the Pope has.”-

Kwi kwi kwi kwi!

Bless my friend ! Kyenju!
 
Last edited by a moderator:
Nilivyomuelewa Mzee Mohamed Said ni kuwa hata ikiwa vipi hakuna ujanja wa kuisimulia historia ya Tanganyika/Tanzania kwa sasa ukawakwepa wenyeji wa mji wa mwambao/ pwani nikimaanisha wengi wao walikuwa waislamu,
Sasa ndo maana hata akileta mchango wa mpigania Uhuru mwengine asokuwa muislamu lazima atakutana na hao wenyeji wa mji huo ambao % kubwa ni waislamu, sasa tusipende kutanguliza chuki wakati yeye anatoa mpaka rejea zake kwa yeyote mwenye kukanusha simulizi zake, vinginevyo naona hapa upande wa pili ni sawa na mtu umeshajiandaa kupinga kila kitu japo hujajua nini aleta mtoa mada,
Na elimu ya matusi sidhani kama ni stahiki kwa wataalamu hasa ambao wanategemewa kuwa Challenger katika hoja za msingi kama hizi,
Naomba wana historia tujikite katika mada tuache dhihaka/kejeli bila kusahau mizaha katika mambo ya msingi.

Samahani wabara kwa kwan katika kupigania uhuru tunaangalia itikadi za kidini au utaifa.
 
Mkuu Kahtaan, long time nafahamu kuwa wewe ni mtu wa jokes, ila shida yangu ni pale wenzako wanapoleta jokes zao kwako au kwa swaiba zako, huwa unajibu kwa jazba wakati zile ni jokes tu.
 
Mkuu Kahtaan, long time nafahamu kuwa wewe ni mtu wa jokes, ila shida yangu ni pale wenzako wanapoleta jokes zao kwako au kwa swaiba zako, huwa unajibu kwa jazba wakati zile ni jokes tu.

Aaaaa! Ok!! Mi nilikuwa sijui kuwa matusi na kashfa pia ni jokes!

Asante sana kunifundisha!

Kuanzia leo mkuu ntajitahidi kujibu bila jazba ila tu nakuomba Ubaki na msimamo wako huo huo kuwa MATUSI AU KASHFA PIA NI JOKES!
Manake tusije laumiana tena!

Ubarikiwe sana kwa somo la leo uliotoa!
🙄
 
Ebo, kumbe hukujua kuwa matusi na kashfa ni jokes! Lejea comment yangu hapo juu, nimekwambia kuwa unawashutumu watu kuwa wanatoa matusi na karshfa ukajisahau kuwa nawe unafanya mambo hayo hayo, tena zaidi ya hao unao walalamikia, ukanijibu kuwa wewe ni mtu wa jokes. Kwa maana hiyo wewe ndo umesema KASHFA na MATUSI ni jokes. Na comment yangu ilifuata nikakupa angalizo kuwa hata hao wengine unaosema wanatukana, siyo kwanba wanatukana ila wanafanya jokes kama wewe. Bila shaka umenipata mkuu.
 
the way you react to different situations defines you. and if you allow other people to decide how you behave then that is entirely your loss. Jifanye umisike basi, seriously siwezi kumiss mtukanaji. ungeweza kuwa mstaarabu kama FaizaFoxy. na lugha yako wala siihusishi na imani yako, ni tabia yako binafsi.
Kyenju !! I love too "! teh teh teh teh!

mbona nyie watu mnamuona kahtaan tu?? Yaani ktk MEMBER ZAIDI YA LAKI anaetumia lugha kali kahtaan tu??!
Aisee nyie inaonekana siku nikiondoka mta ni miss saana! especially King'asti!! teh teh teh teh! she is always behind my back!! just like a stalker!!

Angalia POST ZANGU ZOOTE! HAKUNA SEHEMU MTU AKAKONGEA KISTAARABU MIMI NIKAMJIBU KASHFA!! HATTA SIKU MOJA!!
WE KAMA UNAO USHAHIDI LETA HAPA, NA MIMI NIENDE KUTUBU KWA PADRI!!

Otherwise nyie mtakuwa na macho kama ya njiwa! MANONA UPANDE MMOJA TU!

Chill out and Have a nice day kyenju, I am not going to bite you!!
 
Last edited by a moderator:
the way you react to different situations defines you. and if you allow other people to decide how you behave then that is entirely your loss. Jifanye umisike basi, seriously siwezi kumiss mtukanaji. ungeweza kuwa mstaarabu kama FaizaFoxy. na lugha yako wala siihusishi na imani yako, ni tabia yako binafsi.

Teh teh teh!
Look miss Eliot! Did you ever had a dream about kahtaan?
Honestly! !

All I can say here is "you are all over me:

Come on now! I gat to say again! YOU ARE A STALKER! AND I WILL CALL THE POLICE FOR YOU!!

I never make a comment about your filthy comments here!
But you seems to care a lot of what I say!!.

Keep your hands of me! I dont like to embarrass woman!

Tell those galatians too how to talk to people! But you can't do that can you!?

Cause one them could be mr King'asti annit??
Allow me to say this" if you ever try to show your double standards ever again, I will never care if you wear a skirt, g string, bikini ,or trouser!
I am goin to fire at will!

And believe me miss you ain't goner like me!!

Now watch yourself! ! Miss plonker!
Cause Big daddy is watching you!!:sly::sly::sly:
 
Last edited by a moderator:
Samahani wabara kwa kwan katika kupigania uhuru tunaangalia itikadi za kidini au utaifa.
Mossad,

Ahsanta kwa ulizo lako,
Hilo ulizo ni ulizo ambalo maelezo yake ni mapana na vile vile lawezapata ufupi wa jibu kama pana uhalisia ndani yake,

Sasa, kwa hapa kwetu, tuliangalia utaifa kwanza,

Baada ya hapo kilichotokea baada ya Uhuru ndo kimesababisha na sie/ Shaikh Muhammad Saeed kunyanyua yake kalamu na kuanza kurekebisha mapungufu yaloomo ndani ya Historia ya nchi hii nayo yaonesha kuwa mlengo hapo baadaye vizazi vijavyo huenda wakawa wamepotoshwa kuwa Nchi hii Waislaamu hawakuwa na mchango wowote katika harakati hizo, kitu ambacho ni kinyume kabisa,

Na hapo ndo tulipoanzia na pahala popote ukisia Waislamu wakilalamika jua ni kuwekwa kwao nyuma kama daraja la mwisho,

Maumivu hayo ambayo tuishayapata basi yatosha.

Kifuatacho sasa ni kuonesha uhalisia wa mambo hatuna nia nyangine,

Naamini mossad umenielewa japo kiduchu.

Karibu twendelee na kuwekana bayana.
 
Hahahaha, matisho!:doh:

And i aint nothing like you, neither desiring to be Lord have mercy on me
now who is stalking who? hehehe (just curious, wagalatia ni watu gani? )

Teh teh teh!
Look miss Eliot! Did you ever had a dream about kahtaan?
Honestly! !

All I can say here is "you are all over me:

Come on now! I gat to say again! YOU ARE A STALKER! AND I WILL CALL THE POLICE FOR YOU!!

I never make a comment about your filthy comments here!
But you seems to care a lot of what I say!!.

Keep your hands of me! I dont like to embarrass woman!

Tell those galatians too how to talk to people! But you can't do that can you!?

Cause one them could be mr King'asti annit??
Allow me to say this" if you ever try to show your double standards ever again, I will never care if you wear a skirt, g string, bikini ,or trouser!
I am goin to fire at will!

And believe me miss you ain't goner like me!!

Now watch yourself! ! Miss plonker!
Cause Big daddy is watching you!!:sly::sly::sly:
 
Hahahaha, matisho!:doh:

And i aint nothing like you, neither desiring to be Lord have mercy on me
now who is stalking who? hehehe (just curious, wagalatia ni watu gani? )

Miss capoun, you remind me a scunk!
Even if she hides you can still smell her!

R u telling me you didn't know that you are a part of galatians family? ?
Daaamn girl!! You must be on drugs!
 
Mzee Lameck Bugohe yupo, anapatikana Makao makuu ya UDP, anaweza kuhojiwa na itapatikana historia nzuri tu kuhusu ushiriki wake
 
Back
Top Bottom