kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Na we King'asti ungeanza na NDUGU kahtaan. sio we ........!
umuitae ndugu ni yule at least anae ongea kama ndugu!
Mtu anakuja na kashfa hapa halafu unategemea mi nimwite ndugu kwa biashara gani!
Halafu mi nakuliza. hivi kwanini hao wagalatia wenzako wanapotukana au kukashifu SIJAKUONA HATA SIKU MOJA KUANDIKA KITU??
AU UMENIZIMIA NINI?? manake mapenzi nayo nuksi!
Unaweza mpenda mtu ghafla halafu badala ya kumpa maneno mazuri .we kazi yako ni kumchokoa na vijineno vya kuudhi tu!
Hebu kuwa muwazi hapa"why you always care what I say"" eey !!
Come on! Open up now!!

Last edited by a moderator: