Tumlaumu nani kifo cha CCM: Wazee wa chama, marais au ubinafsishaji mkubwa wa nchi kwa chama?

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,656
Reaction score
3,785
Ningependa kujua nini maoni yakeo juu ya kifo cha hiki chama cha kisiasa hapa Tanzania. Unahisi nini kimepelekea kifo chake na je unahisi walikitegemea tayari na walishaanzisha vyama vya kukumbilia baada ya hiki KIFO au wataamua kubadilisha falsafa ya chama ili kujaribu kurudi kwa wananchi miaka hiyo ijayo.

Nini unawaza ni sababu kuu ya kifo cha CCM:
  1. Wazee wa chama hawakuwa wakifanya kazi zao maalumu bali walikuwa wakijijali wao, familia zao na mali zao walizochuma kipindi cha madaraka yao?
  2. Marais wenyewe, kama wengi tunavyoamini nchi ya Tanzania inaongozwa na raisi pekee mambo mengine ni maigizo tu. Lawama zote ziende kwake.?
  3. Ubinafsishaji mkubwa wa kila kitu kwenye nchi kwa chama: Bunge, Mahakama, Rasilimali, Uchaguzi na ndoto za watanzania (huwezi fanya lolote mpaka uwe na kadi ya chama au ujipendekeze kwa chama)
  4. Muda tu umefika, watu wanataka kuona sura mpya na namna wengine wanaweza kuwaongoza.
  5. Mengine...
 
Majira na nyakati Mzee, muda ulishafika!
 
Majambazi yamekiteka chama cha mapinduzi wanakitumia kwa namna inayohatarisha usalama wa nchi.

Tunabagazwa na kubanangwa.

Majambazi yamekita mizizi haswa.
 
Poleni, ila sijalia
proxy-image44.jpeg
 
Huu uchafuzi kwa namna moja au ingine ndo unaelekea kuisha, kwa ushindi wa vuguvugu!(Sintofahamu ni kubwa mno).

Nderemo zakinafki zitafuata, then maridhiano ya mchongo!

Ila pasi na kujua 2030 sio mbali, hali itakuwa mbaya zaidi ya kipindi kilichopita(Uchumi) na hata "vyombo" vitapata shida mno kuwabeba CCM, na anguko litakuwa inavitable, why?

Ugumu wa maisha hauchagui itikadi
,wakiwemo wana CCM wenyewe ambao ndio watakuwa na njaa ndio wataleta mabadiliko, Save the comment!

Kazi kubwa kwa CCM ili ibaki madarakani ni kupiga kazi mara mbili au tatu ya kipindi kilichopita kitu ambacho ni kigumu sana kutokana na aina ya "Ushkaji" walioleta kwenye uongozi na chama so kazi ni ngumu sana mbeleni.
 
Back
Top Bottom