Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #21
M
wala mimi sio Mpagani hapa, Maskini sidhani kama hata Umeelewa kilichoandikwaUzi wa WAGANI naona mmeitana.
endeleeni kujadili ujinga wenu
Zab 53:1 SUV
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Mt 11:25-26 SUV
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.