Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
-
- #21
wala mimi sio Mpagani hapa, Maskini sidhani kama hata Umeelewa kilichoandikwaUzi wa WAGANI naona mmeitana.
endeleeni kujadili ujinga wenu
Zab 53:1 SUV
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Mt 11:25-26 SUV
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
wala mimi sio Mpagani hapa, Maskini sidhani kama hata Umeelewa kilichoandikwaUzi wa WAGANI naona mmeitana.
endeleeni kujadili ujinga wenu
Zab 53:1 SUV
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wametenda uovu wa ufisadi na kuchukiza, Hakuna atendaye mema.
Mt 11:25-26 SUV
Wakati ule Yesu akajibu, akasema, Nakushukuru, Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa mambo haya uliwaficha wenye hekima na akili, ukawafunulia watoto wachanga. Naam, Baba, kwa kuwa ndivyo ilivyopendeza mbele zako.
Nimeelewa vizuri saanawala mimi sio Mpagani hapa, Maskini sidhani kama hata Umeelewa kilichoandikwa
Hawa wapimbi wanajua ina wanapotosha tuKwenye biblia Adamu alikufa miaka mingi kabla Musa hajazaliwa. Nadhani Musa ni kizazi cha 4 au cha 5 baada ya Adamu.
Hata kwenye Uislam Vivyo hivyo, Bali hadithi inaeleza Musaa alimwomba M/Mungu amletee Adam kwa Ajili majadiliano nae ina ilikuwa in term of miracle Ufufuo tu wa part time.Kwenye biblia Adamu alikufa miaka mingi kabla Musa hajazaliwa. Nadhani Musa ni kizazi cha 4 au cha 5 baada ya Adamu.
Hawa wapimbi wanajua ina wanapotosha tu
I have seen so many scriptures that claim that the fruit was a sexual act, but some are discredited by claiming that it is the Real Fruit.No one to blame. Another possible way to stop the curse on its tracks was for Adam and Eve not to have sexual relationship. So After their exit from the face of the earth, God will have to come with another plan, because the whole world would have become full of everykind of animals but 0 human beings.
AmyiiinTuna Amini MUNGU bado yupo nasi.salute
YOU ARE Member of AWAKINGS[emoji35][emoji35]Tatizo hata hujaelewa kilichoandikwa pia
Hapana sio sexual act, sababu waliambiwa wazaliane wawe wengi,Na mimi nimekutana na msomi mmoja aliyedai kuna vipande vimepungua kwenye MWANZO yeye anadai Adam alimgeuza Eve kinyume cha maumbile ndio laana ikaanzia hapo. Kuna theories nyingi sana. Ila no sex sio problem.I have seen so many scriptures that claim that the fruit was a sexual act, but some are discredited by claiming that it is the Real Fruit.
Tuwekee ushahidi. Ni uwendawazimu kudai jambo limetungwa bila kutuambia limetungwa vipi na ushahidi uko wapi.Hapo ndipo utaona hii story imetungwa enzi za ujinga.
Hadithi hii tunaipata wapi katika vyanzo vyetu sisi Waislamu ?Hii ni Hadithi ya mtume Muhammad (S.A.W) akielezea jinsi Nabii Musa yule aliyesumbuana na Farao kule Misri alivyokutana na Nabii Adam baba wa kizazi cha Wanaadamu Ulimwenguni.
Inasimuliwa
Nabii Muhammad (ﷺ) alisema,
"Adam na Musa walibishana wao kwa wao.
Musa akamwambia Adam.
" Ewe Adam! Wewe ni kipi kilikufanya ufukuzwe katika bustani ya Mwenyezi Mungu, kwanini ulivunja miadi ya mwenyezimungu (ukala tunda na mkeo ukafukuzwa peponi)"
Adam akamjibu
"Mwenyezimungu alikuwa ameiandika katika hatima yangu miaka kabla ya kuumbwa kwangu.
Haya maelezo bila shaka ni ya kwako mwenyewe kwa mtizamo wako. Kama si ya kwako naomba ushahidi wa hiki ulicho kiandika.Masimulizi haya yanaeleza namna Nabii Mussa alivyomuomba Mola wake amkutanishe na Nabii Adamu ili apate kumuuliza kilichomsibu ikafikia hatua ya yeye, kumuasi mola wake wake kwa kumfuata Ibilisi naye Adamu akajikuta yu Uchi kufuatia kula tunda.
Inaelezwa Mussa alipokutanishwa tu na Adamu alianza kumshushia lawama yakwamba kwanini alikula tunda mpaka akafukuzwa kule Eden akasababisha Wanaadamu waje kuishi mahali na sehemu zenye shida nyingi Duniani
Kina nani mna mlaumu baba yetu Adamu ? Ni wajinga pekee ndiyo humlaumu baba yetu Adamu.Kwanini tunamlaumu Adamu na Shetani Ilhali ilikuwa ni mipango ya Mwenyezimungu?
Wewe naomba ukisoe hii habari . Utuonyeshe ya kuwa haiko sawa.Wewe unaona hiyo habari iko sawa?
Inserting a penis into a woman's vagina is in itself is not sin. Tatizo linakuja kibali ulichonacho kufanya tendo hilo, nadhani hii ni kwa dini zote. Hiyo ina cancel hiyo dhana. Ukioa na hufanyi inakuwa tatizo.I have seen so many scriptures that claim that the fruit was a sexual act, but some are discredited by claiming that it is the Real Fruit.
Basi wewe sio mkristoHakuna jambo lolote lililoandikwa katika Vitabu vya dini ambalo liliwahi kutokea kweli, hizo zote ni hadithi za kufikirika tu.
NB. Mi ni mkristo nliyefungua minyororo ya utumwa kichwani