Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote. Ameibua mengi tuliyokuwa hatuyajui

NDOTO KAVU

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2011
Posts
1,513
Reaction score
1,121
Pongezi kwa Pole Pole na Nape.

Jamani sijaamini kama CCM wangekuwa na mchezo mchafu wa mfimo wa uchaguzi.

Tumlinde Pole Pole kwa nguvu zote na tumsamehe inawezekana kipindi akiwa kule alikuwa hana nia mbaya ila yeye akawa anafuatilia mambo muhimu na ameshaanza kuporomoa.

Kila kipindi cha Pole Pole sikumsikia anashambia vyama vya upinzani kwa maneno makali kama Bashiru

Jicho la Pole Pole lifanyiwe kazi

Hivi sasa hivi wanasema wanatiki siku ya uchaguzi vituo vyao vikishambuliwa na wananchi hapo mwenye tatizo ni tume au raia?

Je tanzania ina askari wakutosha kupabana na wananchi kwa sababu ya kumuheshimisha Muliro?

Je wazee wa taifa hili kwa nini wasikae na vyama vyote wakatoa waraka wao kama waasisi wa taifa

Jeshi sio Polisi lishiriane na hawa wazee kupata mfumo wa tume ya uchaguzi

Lakini ni wazee wachache wenye busara.
 
siidhani kama yuko hapa, never on earth..labda kama atakuwa amefichwa na JW which is most unlikely!
 
Msipoteze Mali na muda wenu, hakuna anayehangaika naye. Maana mleta mada inawezekana keshaona fursa ya tone tone anataka kujipigia🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom